Kilimo cha mboga mboga Tanzania/ horticulture: Jinsi ya kuandaa shamba, palizi na kuvuna

Tunahitaji mbegu bora na utaalamu wakisasa, tutalisha Africa na dunia kwa ujumala kama Urusi na ngano au Marekani na mahindi
 
Asante hizo greenhouses zipo Arusha maeneo ya chekereni kweli ni uwekezaji wa kufa mtu na hilo shirika la horticulture la TAHA nalifahamu sababu nina rafiki yangu anafanya kazi hapo.
La serikali naona magari ni DFP mkuu?
 
La serikali naona magari ni DFP mkuu?
DFP = Donor Funded Project, haimaanishi kuwa ni mradi wa serikali pekee, bali unaweza kuwa ni private sector/au wananchi au ushirika, au serikali lakini sehemu ya pesa imetolewa na wafadhili kama Bill Gates etc...
 

huko kwa kichwa cha habari... ni mbio za marathon au ni sprint tanzania ipo the fastest horticulture grower. Ni matunda au maua yenu yachukua siku tatu au nne toka upanzi mpaka sokoni au wamaanisha nini kaka!!!
 
Kenya’s horticulture sector ranked the fastest growing industry
June 8, 2017



Over 5,000 flower growers, breeders and buyers are in Nairobi for the annual International Flower Trade Expo, now in its sixth year.

The expo is timely for Kenya, coming at a time when the country is set to introduce direct flights to the USA following the classification of Kenya’s premier airport, Jomo Kenyatta International Airport to category a status.

Kenya’s horticultural sector is currently ranking as one of the economy’s fastest growing industries as well as the top foreign exchange earner for the country.

Since International flower trade expo opened its doors here in 2012, there has been a steady pattern of target visitors.

Buyers visit Kenya to see the flowers and book supplies.
Although Kenya actively participates in our other international flower shows globally, IFTEX offers the largest number of growers sitting together showcasing the unique characteristics of flowers from the country’s various growing regions.

Got roses this Valentine's Day? They probably came from Kenya


Photos: Kenya's flower power
The main cut flowers grown in Kenya are roses, carnations, hypericums (pictured), alstromeria, gypsophilla and lilies, amongst many others.












Story highlights


    • Kenya is one of the biggest flower exporters in the world
    • Around one in three flowers sold in Europe come from the country
(CNN)If you were the lucky recipient of a bunch of fragrant roses this Valentine's Day, it's likely that they came from Kenya.

The country is the third largest exporter of cut flowers in the world, accounting for around 35% of all sales in the European Union. Famed for being long-lasting, Kenya's roses, carnations and summer flowers are also popular in Russia and the U.S. where last week several growers showcased their blooms at the World Floral Expo in Los Angeles.

The event is one of the industry's largest and gathers over 80 exhibitors from across the world, with several Ethiopian growers also representing the African continent alongside Kenya.

Benan Barwick/CNN
The country's flower power is attributed to its sunny climate, which enables high-quality blossoms to be grown year-round without the need for expensive-to-run greenhouses.

Kenya also has excellent transport links to Europe, and from there, the rest of the world through Nairobi airport, which has a terminal dedicated specially to the transport of flowers and vegetables. This means that delicate floral cargo which is perishable in nature can be shifted from growers to consumers swiftly.

More than 500,000 people in the country depend on the trade according to the Kenya Flower Council, with roughly half of the country's 127 flower farms concentrated around Lake Naivasha, around 90 kilometers northwest of Nairobi.

"Naivasha is a big center because it's a freshwater lake and it is not very far from Nairobi, which makes transport easy," says John Kihia, technical director of Floralife Africa, a company which provides hydration, transport and storage for the cut-flower industry. "People have been growing flowers there for a long time so there is a skilled labor force in place," he adds.
 
Maneno mengi point chache stupid vision wengine tubaki wachangiaji tu siyo kutafuta kiki za kitoto kwa kuanzisha Uzi useless
 
Maneno mengi point chache stupid vision wengine tubaki wachangiaji tu siyo kutafuta kiki za kitoto kwa kuanzisha Uzi useless
"wengine" probably its you and some other lunatics of your caliber me not included. Usitake tufanane am way too far from your type. Tuheshimiane.
 
Maneno mengi point chache stupid vision wengine tubaki wachangiaji tu siyo kutafuta kiki za kitoto kwa kuanzisha Uzi useless
Eti Stupid vision, [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli mkuu wewe ubaki tu mchangiaji.
 
Kuwafikia kenya bado sana,kama uko kwenye field utanielewa
 
Wivu!!
 
Tanzania is not for flowers only we are scattered to the all levels of horticulture since Horticulture means production of fruits, flowers, spices, herbs and vegetables whether indoors or outdoors Tanzania tupo njema kwenye maua lakini tupo vizuri zaidi kwenye vegetables, fruits, herbs, spices
 
REDEEMER. naomba unifafanulie, ukiondoa makampuni makubwa kushiriki katika ulimaji, je kuna wakulima wadogo wadogo ambao wako organised katika association, or cooperative or networks....? nifahamishe tafadhali
 
Vipi na yale ya Mbowe waliyoyaharibu kwa chuki na husda mmeyahesabia?
 
REDEEMER. naomba unifafanulie, ukiondoa makampuni makubwa kushiriki katika ulimaji, je kuna wakulima wadogo wadogo ambao wako organised katika association, or cooperative or networks....? nifahamishe tafadhali
Ndio Mkuu vipo vikundi vingi sana ambavyo vinapata utaalamu, Mbegu bora, madawa, taarifa za masoko (kununua mazao yako yote) kutoka kwa makampuni makubwa yanayofanya packaging, logistics and marketing, hivyo unachotakiwa kuwa nacho ni ardhi tu mengine yote utapata kutoka kwao, nimeweka contact zao hapo juu wasiliana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…