Kilimo cha mboga mboga Tanzania/ horticulture: Jinsi ya kuandaa shamba, palizi na kuvuna

Napenda kujua muundo wao tu
 
Vijana sasa wanatoka kwenye madini (Tanzanite) wanajikita kwenye horticulture, niko Arusha ni sector inayotajirisha vijana wengi na wengi wamejikita kufanya hii shughuli, uzuri wa Arusha na most part of Tanzania soko sio shida kwa hizi product shida huwa iko kwenye bei yaani kipindi kipi unauza kwa bei nzuri so uhakika wa kuuza kwanza hufanya kila anaelima asikate tamaa ya kuendeleza kilimo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…