Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Hahaaaa.
Ni mbegu zimeboreshwa. Wananchi wengi tu wa Mara wanazinunua. Mbegu za Muhogo sio za kununua kila mwaka. Akinunua mara moja miaka mitatu inayofuata anakuwa anapanda hizohizo
Hapo sawa nilidhani ni hizi zisizo na uwezo wa kuoteshwa kienyeji.
 
Mwakani ngoja nijaribu hili zao pia hata kwa acre moja.
 
Kabisa
 
Wakuu habari,

Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei.
 
Wakuu habari,

Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei.
Ulifanikiwa mkuu? Natafuta pia soko la mihogo, natolea kimanzi Chana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…