mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Jaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo ili upate mbegu zilizothibitishwa na wataalam.Habari zenu wana JF,
Naomba kama kuna mwana JF anae jishughulisha na kilimo cha Tangawizi anipatie mawasiliano yake ili niweze kununua tangawizi nitakazo weza kutumia kama mbegu shambani kwangu. Nakaribisha mawazo mbadala kuhusu namna ya kulima na soko la zao hili ndani ya nchi yetu.
Karibuni tubadirishane uzoefu kuhusu kilimo cha zao hili.
Ahsanteni
3000 per kgTaja bei
Jana nilipita Soko la Ilala ni Tsh 2000-2500,Hivyo jaribu kuangalia bei ili ujue utauzaje lakini kama kungekuwa na uwezekano kupekeleka nje ya nchi ungeuza kwa bei nzuri3000 per kg
Ooh dah ningepata hiyo nafasi ingekuwa poa, nimepata soko mtwara ila wanahitaji kidogo tani 25 tuu kwa bei ya 3000Jana nilipita Soko la Ilala ni Tsh 2000-2500,Hivyo jaribu kuangalia bei ili ujue utauzaje lakini kama kungekuwa na uwezekano kupekeleka nje ya nchi ungeuza kwa bei nzuri
Naam jaribu kuulizia kwa wanaopeleka mazao nje ya nchi hasa Kenya ama Kongo waweza pata soko huko kwa siku za baadae, Kilimo kinalipa kama kukiwa na soko la uhakika!Nakutakia kila la kheri Ndugu.Ooh dah ningepata hiyo nafasi ingekuwa poa, nimepata soko mtwara ila wanahitaji kidogo tani 25 tuu kwa bei ya 3000
Asante sana nduguNaam jaribu kuulizia kwa wanaopeleka mazao nje ya nchi hasa Kenya ama Kongo waweza pata soko huko kwa siku za baadae,Kilimo kinalipa kama kukiwa na soko la uhakika!Nakutakia kila la kheri Ndugu
Ni mbichi, samahani kwa kuchelewa kujibuMbichi au kavu?
Shambani wanauza sasa, nitakuulizianatafuta mbegu ya Tangawizi toccara plz nisaidie
ukiwa shambani nijulishe contact yangu ipo hapo juuShambani wanauza sasa, nitakuulizia