toccara
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 540
- 202
Sawa ni tangawizi nyeupe au nyekundu?Ukimpata niunganishe namba yangu ni 0717246284
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ni tangawizi nyeupe au nyekundu?Ukimpata niunganishe namba yangu ni 0717246284
You meant 'nimelima wapi au'?Mkuu umelipa wapi?
Naomba mawsiliano yako mkuu nahitaji sanaNitawapata wapi hao wanunuzi wa mbegu na Tangawizi yenyewe? Ninayo ipo shambani eka 10
Unapoiacha shambani huwa haiharibikiZao la Tangawizi linalipa. Nimelima mara mbili lakini msimu huu Tangawizi bado ipo shambani kwa kukosa wanunuzi.
Hapana haiharibiki. Tangawizi ni zao ambalo halikumbwi na wadudu kirahisi. Likizidi kukaa ardhini linazidi kukomaa.Unapoiacha shambani huwa haiharibiki
NdioKILIMO cha TANGAWIZI..!
You meant 'nimelima wapi au'?
Mvumi, Mandege wanafamya hii shughuli ni unaweza kwenda kujifunza, utufundishe na sisi.Tangawizi mkuu dumila gailo hata mimi napenda hiki kilimo
Yeyote kati ya hiyo kwani nina nyeupe na nyekundu
Nina tani 60 nduguUmepeleka sokoni zisinunuliwe?
Nina tani 60 ndugu na nauza kwa jumla Kuanzia tani 1Umepeleka sokoni zisinunuliwe?
Na wewe zipo songea..Nina tani 60 ndugu
Nina tani 60 ndugu na nauza kwa jumla Kuanzia tani 1
Hapana zipo Sumbawanga nduguNa wewe zipo songea..
Tumia madalaliNina tani 60 ndugu
Nina tani 60 ndugu na nauza kwa jumla Kuanzia tani 1
Nimependa sana maoni hayaHeshima kwenu wakuu.
Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri.
Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri.
Ombi langu ni kwa wale wenye uzoefu na kilimo hiki wanipe A,B,C...zote kuhusu kilimo cha zao hili.
Ningependa kujua kuhusu gharama ninazoweza kukumbana nazo mpaka zao hili lifikie hatua ya kuvunwa toka shambani.
Thanks in advance.
========== Majibu kutoka kwa wadau ===========
Upo wapi mpendwa? Mbegu unauzaje Kwa kilo?Nitawapata wapi hao wanunuzi wa mbegu na Tangawizi yenyewe? Ninayo ipo shambani eka 10
Nitahitaji mbegu kias gani kupanda heka 2?Bei ya tangawizi imeshuka mkoani kigoma,kwa sasa kilo moja ni kati ya tzs: 500 na 800, kama utaifuata katika vijiji vya Kishanga,Kalela na Kanazi, Huu ndio wakati mzuri wa kununua mbegu kwa sababu bei itapanda siku chache zijazo kwa sababu kuna wafanyabiashara kutoka Rwanda na Kenya huwa wanaifuata vijijini.