Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau


Hivi vijiji vipo maeneo.gani mkuu? Maana mimi nimepita njia ya kwenda kasulu kuna vijiji kabla ya kufika pale wanapouza vitunguu kwa wingi nimekuta kilo wanauza 6000 na wanunuzi wanawafata wakulima mpaka shambani.
 
Wakuu nahitaji nilime tangawizi Kigoma. Hebu naomba munijulishe ni maeneo gani wanalima tangawizi kwasana pale Kigoma.
 
Habari yako gungu
 
Zao la Tangawizi linalipa. Nimelima mara mbili lakini msimu huu Tangawizi bado ipo shambani kwa kukosa wanunuzi.
 
Nitawapata wapi hao wanunuzi wa mbegu na Tangawizi yenyewe? Ninayo ipo shambani eka 10
 
Hivi vijiji vipo maeneo.gani mkuu?, maana mimi nimepita njia ya kwenda kasulu kuna vijiji kabla ya kufika pale wanapouza vitunguu kwa wingi nimekuta kilo wanauza 6000 na wanunuzi wanawafata wakulima mpaka shambani
Hivi vijiji havipo barabarani vipo ndani,Kama utatumia barabara kotoka kasulu shukia stendi ya Kalela au Mayange kisha chukua bodaboda,Kutokea kigoma mjini pitia njia ya kijiji cha mahembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…