A
Anonymous
Guest
Kwa sasa hakuna maji, maana kwa nguvu za wananchi tumeanza kutengeneza hapo tangu Machi 2026 kwa kutumia nyenzo za mikono ili tuweze kupeleka maji shamban walau tulime hata mahindi na maharage ili tuweze kupata hata chakula maana kulima zao la kibiashara kama vitunguu tumeshachelewa sababu ni kukosa maji kwa changamoto ya kivuko ni kibovu.