A
i?Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli mbiu ya kilimo bora au bora kilimo?
Kwa sasa hakuna maji, maana kwa nguvu za wananchi tumeanza kutengeneza hapo tangu Machi 2026 kwa kutumia nyenzo za mikono ili tuweze kupeleka maji shamban walau tulime hata mahindi na maharage ili tuweze kupata hata chakula maana kulima zao la kibiashara kama vitunguu tumeshachelewa sababu ni kukosa maji kwa changamoto ya kivuko ni kibovu.
Wale viongozi wenu pale magereza wanafanya kazi gani aidee...halafu mbona hapo kuna wakulima wengi matajiri..hivi mnashindwa kunichangisha laki laki kila mkulima na hao matajiri kina fido, ngasa,misheni,king nk wakatoa hata milioni milioni mkajenga wenyewe hicho kivuko kuleta maji mashambani? kuanzia msowelo,lumuma,mafene mpk kitati mnashindwa kunichangissha mkaanza ujenzi?Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli mbiu ya kilimo bora au bora kilimo?
Kwa sasa hakuna maji, maana kwa nguvu za wananchi tumeanza kutengeneza hapo tangu Machi 2026 kwa kutumia nyenzo za mikono ili tuweze kupeleka maji shamban walau tulime hata mahindi na maharage ili tuweze kupata hata chakula maana kulima zao la kibiashara kama vitunguu tumeshachelewa sababu ni kukosa maji kwa changamoto ya kivuko ni kibovu.
hao njaa bado haijawafika vizuri. Wakipigwa njaa mbona kivuko watakitengeneza tuWale viongozi wenu pale magereza wanafanya kazi gani aidee...halafu mbona hapo kuna wakulima wengi matajiri..hivi mnashindwa kunichangisha laki laki kila mkulima na hao matajiri kina fido, ngasa,misheni,king nk wakatoa hata milioni milioni mkajenga wenyewe hicho kivuko kuleta maji mashambani? kuanzia msowelo,lumuma,mafene mpk kitati mnashindwa kunichangissha mkaanza ujenzi?
Hicho kijiji kina zaidi ya miaka 70 kwenye kilimo cha vitunguu..sass jambo kama hilo kweli wanashindwa kujichanga kuboresha miundombinu ya umwagiliaji mpaka kusubiri seriakali ije kuwafanyia?hao njaa bado haijawafika vizuri. Wakipigwa njaa mbona kivuko watakitengeneza tu
ndio ujinga wa vijijini...yaani maendeleo wanasubiri mpk serikali ine kujenga..kipindi cha mvua barabara hazipitiki kabisa. Zamani kulikuwa na ile njia ya kutoka pale magereza kwenda kilosa mjini kama kilometa 68 tu njia ambayo ni shortcut kwa watu wanaotokea Morogoro kwenda Pwaga,kibakwe,kidete na mpwapwa ila mpk leo haijawahi kutengenezwaDuuuh! Kwel hatar kwa jinsi hicho kijiji kilivyo na matajiri wa vitunguu sikutegemea kuona mnalalamika wapo wakina ndugu,king na misheni wameshndwa kweli kujichanga hahahahah alafu kwenye picha hapo nimemuona neto chisemwa mpe salamu