Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

Habari wanaJF,

Nimepanda viazi hekta 3 na nimevipandia samadi yanguruwe.

Kwajinsi vyuma vilivyo kaza sina mpango wakukuzia zaid yakupiga dawa nakupalia tu.

Naomba msaada wakitalamu ntafanikiwa malengo yakutoa magunia yakutsha au itkula kwangu hata nisiludshe hela ya mbegu.
 
Hela ya mbegu itarudi,ili upate faida ni vema ukavikuzia kwa mbolea eg CAN
 
Wakuu habari za Leo humu ndani,naomba msaada wa taarifa kwa yyte mwenye Nazo kuhusu kilimo cha Viazi vya chips (mviringo) mkoani mbeya naomba taaarifa katika nyanja hizi:

1. Upatikanaji wa mashamba(Gharamaya kukodi )
2. Muda wa kuanza Kulima
3. Gharama ya mbegu
4. Mchanganuo wa utunzaji na masoko

Karibuni sana
 
Wakuu habari za Leo humu ndani,naomba msaada wa taarifa kwa yyte mwenye Nazo kuhusu kilimo cha Viazi vya chips( mviringo) mkoani mbeya naomba taaarifa katika nyanja hizi:

1. Upatikanaji wa mashamba (Gharamaya kukodi )
2. Muda wa kuanza Kulima
3. Gharama ya mbegu
4. Mchanganuo wa utunzaji na masoko

Karibuni sana
Ulifanikiwa mkuu. Mimi pia naitaji kulima zao hill mwaka huu 2018.
 
Habar wakuu,

Mimi ni kijana ninaye ishi dar. Naitaji kujikwamua kwenye janga hili la umaskini..njia pekee ninayo iamini itanisaidia ni kilimo.

Nimepata taarifa kutoka kwa marafiki juu ya kilimo cha viazi kinacho fanyika NJOMBE kua ni zao lenye soko.

Mwezi Wa 7 naitaji kufanya kilimo hicho lakini kabla ya yote ningependa kupata watu ambao wanaujuzi na kilimo icho nipate kusaidiwa kujua namna gani ntafanikiwa.

Naitaji kujua:
  • Upatikanaj Wa mashamba
  • Garama za uendeshaji
  • Upatikanaj Wa mbegu bora
  • Na mnijuze niandae kiasi gani kwa kilimo cha heka 2
Ahsante
 
Kama ndio unaanza kilimo na unataka kujikwamua, kitu muhimu ni kujenga mtaji ulionao. How?

1. Epuka kuanza kilimo cha mazao pasua kichwa

-Nyanya
-Viazi
-Vitunguu, na jamii yoyote ya mboga na matunda.

Kwa nini?
Vinaoza after a period of time. Hivyo vitu nilivyotaja hapo juu vinalipa lkn sio kwa mkulima anaeanza na macho yake katoa kwenye mtaji.

Ushauri wangu ni:
1. Fanya kilimo cha nafaka.
2 . Tafuta data kwa rafiki au jamaa kisha fanyia kazi, nenda sehemu husika prove hizo data.
3. Kwa kuwa unataka uepuke umasikini, huna budi kuwa masikini. Namaanisha funga virago hamia shamba, kwa kipindi chote hadi kuvuna. Ukitaka kuwa ndondocha kaa dar Lima kwa kutumia simu.
4. Kitu muhimu sana, baada ya kuvuna usinisahau hata kwa gunia 3 za ushauli.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Kama ndio unaanza kilimo na unataka kujikwamua, kitu muhimu ni kujenga mtaji ulionao. How?

1. Epuka kuanza kilimo cha mazao pasua kichwa

- Nyanya
- Viazi
- Vitunguu
- Na jamii yoyote ya mboga na matunda.

Kwa nini?

Vinaoza after a period of time.
Hivyo vitu nilivyotaja hapo juu vinalipa lkn sio kwa mkulima anaeanza na macho yake katoa kwenye mtaji.

Ushauli wangu ni ÷

1. Fanya kilimo cha nafaka.
2. Tafuta data kwa rafiki au jamaa kisha fanyia kazi, nenda sehemu husika prove hizo data.

NENO
 
Ushauri wangu ni ÷

Mzee uko sahihi sana ilo la kulima kwa simu lilimfanya rafiki angu aangue kilio alipoamua aende fild kucheki maendeleo maana apakuwa na ratio kati ya pesa na eneo
 
mzee uko sahihi sana ilo la kulima kwa simu lilimfanya rafiki angu aangue kilio alipoamua aende fild kucheki maendeleo maana apakuwa na ratio kati ya pesa na eneo
Kilimo ni professional nyeti kama uuguzi, askali, ualimu, ulezi.

Na ili ufanikiwe lzm uivae kama nguo, huwezi mtu ukavaa suti na sports trak kwa wakati moja. Utaonekana kichaa.

Watu wengi hawajajua na hakuna siku nikaona mtaalam wa kilimo akisisitiza kuwa kama mtaji wako wa manati na unataka kuwekeza kwenye kilimo inakupasa na wewe kuwa sehemu ya shamba.

Wengi waliofanikiwa kwenye kilimo walikuwa sehemu ya shamba, ie hawakuwa na shughuli nyingine zaidi ya shamba.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Kama ndio unaanza kilimo na unataka kujikwamua, kitu muhimu ni kujenga mtaji ulionao. How?

1. Epuka kuanza kilimo cha mazao pasua kichwa

- Nyanya
- Viazi
- Vitunguu
- Na jamii yoyote ya mboga na matunda.

Kwa nini?
Vinaoza after a period of time.
Hivyo vitu nilivyotaja hapo juu vinalipa lkn sio kwa mkulima anaeanza na macho yake katoa kwenye mtaji.

Ushauri wangu ni ÷

1. Fanya kilimo cha nafaka
2 . tafuta data kwa rafiki au jamaa kisha fanyia kazi, nenda sehemu husika prove hizo data.
3.kwa kuwa unataka uepuke umasikini, huna budi kuwa masikini. Namaanisha funga virago hamia shamba, kwa kipindi chote hadi kuvuna. Ukitaka kuwa ndondocha kaa dar Lima kwa kutumia simu.
4. Kitu muhimu sana, baada ya kuvuna usinisahau hata kwa gunia 3 za ushauli.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu
 
Hii mada ni nzuri Sana hasa kipindi hiki ambacho vyuma vimekaza. Watu na utaalam wenu endeleeni kutiririka ili tufaidike na elimu na uzoefu wenu.
 
Naomba ambae anajua wapi naweza pata viazi mviringo vile vyeupe anielekeze, ikiwezekana hata na bei zake.
 
Mkuu viazi mviringo vinapatikan Sana mbeya kuanzia uyole mpak maeneo ya simambwe mpak karibu na kiwira eneo hilo katikat ndiko bidhaa huzalishwa ila kwa bei ya sokoni iko tofauti na ya shambani sijajua unahitaji bei ya shambani au sokoni.
 
Nipe kazi nikutafutie mzigo, eneo vilipo ni Iringa.
 
Kwa wazoefu wa kulia viazi mviringo naomba msaada wa kufahamishwa jinsi ya kuviotesha kabla ya kuvipanda shambani. Maana mwaka ulioisha virinigarimu baada ya kuniozea gunia tatu za mbegu wakati wa uoteshaji. Naenda sana Kilimo hiki, tafadhari naomba msaada.
 
Back
Top Bottom