Dominic mr
Member
- Jan 19, 2018
- 9
- 1
Asante mkuuHela ya mbegu itarudi,ili upate faida ni vema ukavikuzia kwa mbolea eg CAN
Ulifanikiwa mkuu. Mimi pia naitaji kulima zao hill mwaka huu 2018.Wakuu habari za Leo humu ndani,naomba msaada wa taarifa kwa yyte mwenye Nazo kuhusu kilimo cha Viazi vya chips( mviringo) mkoani mbeya naomba taaarifa katika nyanja hizi:
1. Upatikanaji wa mashamba (Gharamaya kukodi )
2. Muda wa kuanza Kulima
3. Gharama ya mbegu
4. Mchanganuo wa utunzaji na masoko
Karibuni sana
NENOKama ndio unaanza kilimo na unataka kujikwamua, kitu muhimu ni kujenga mtaji ulionao. How?
1. Epuka kuanza kilimo cha mazao pasua kichwa
- Nyanya
- Viazi
- Vitunguu
- Na jamii yoyote ya mboga na matunda.
Kwa nini?
Vinaoza after a period of time.
Hivyo vitu nilivyotaja hapo juu vinalipa lkn sio kwa mkulima anaeanza na macho yake katoa kwenye mtaji.
Ushauli wangu ni ÷
1. Fanya kilimo cha nafaka.
2. Tafuta data kwa rafiki au jamaa kisha fanyia kazi, nenda sehemu husika prove hizo data.
3. Kwa kuwa unataka uepuke umasikini, huna budi kuwa masikini. Namaanisha funga virago hamia shamba, kwa kipindi chote hadi kuvuna. Ukitaka kuwa ndondocha kaa dar Lima kwa kutumia simu.
4. Kitu muhimu sana, baada ya kuvuna usinisahau hata kwa gunia 3 za ushauli.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Mzee uko sahihi sana ilo la kulima kwa simu lilimfanya rafiki angu aangue kilio alipoamua aende fild kucheki maendeleo maana apakuwa na ratio kati ya pesa na eneoKama ndio unaanza kilimo na unataka kujikwamua, kitu muhimu ni kujenga mtaji ulionao. How?
1. Epuka kuanza kilimo cha mazao pasua kichwa
- Nyanya
- Viazi
- Vitunguu
- Na jamii yoyote ya mboga na matunda.
Kwa nini?
Vinaoza after a period of time.
Hivyo vitu nilivyotaja hapo juu vinalipa lkn sio kwa mkulima anaeanza na macho yake katoa kwenye mtaji.
Ushauri wangu ni ÷
1. Fanya kilimo cha nafaka.
2. Tafuta data kwa rafiki au jamaa kisha fanyia kazi, nenda sehemu husika prove hizo data.
3. Kwa kuwa unataka uepuke umasikini, huna budi kuwa masikini. Namaanisha funga virago hamia shamba, kwa kipindi chote hadi kuvuna. Ukitaka kuwa ndondocha kaa dar Lima kwa kutumia simu.
4. Kitu muhimu sana, baada ya kuvuna usinisahau hata kwa gunia 3 za ushauli.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Kilimo ni professional nyeti kama uuguzi, askali, ualimu, ulezi.mzee uko sahihi sana ilo la kulima kwa simu lilimfanya rafiki angu aangue kilio alipoamua aende fild kucheki maendeleo maana apakuwa na ratio kati ya pesa na eneo
Asante mkuuKama ndio unaanza kilimo na unataka kujikwamua, kitu muhimu ni kujenga mtaji ulionao. How?
1. Epuka kuanza kilimo cha mazao pasua kichwa
- Nyanya
- Viazi
- Vitunguu
- Na jamii yoyote ya mboga na matunda.
Kwa nini?
Vinaoza after a period of time.
Hivyo vitu nilivyotaja hapo juu vinalipa lkn sio kwa mkulima anaeanza na macho yake katoa kwenye mtaji.
Ushauri wangu ni ÷
1. Fanya kilimo cha nafaka
2 . tafuta data kwa rafiki au jamaa kisha fanyia kazi, nenda sehemu husika prove hizo data.
3.kwa kuwa unataka uepuke umasikini, huna budi kuwa masikini. Namaanisha funga virago hamia shamba, kwa kipindi chote hadi kuvuna. Ukitaka kuwa ndondocha kaa dar Lima kwa kutumia simu.
4. Kitu muhimu sana, baada ya kuvuna usinisahau hata kwa gunia 3 za ushauli.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Ni siri au hujamuelewa?Alikuwaje mkuu?