Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

Wapi huko? Morogoro?
Kitunguu nmelima kilosa, Lumumba
Nkapigaga kaela fulani ila syo zile zao wanazosema
Nkaja tena nkalamiga kitungu mvumi, Kilosa maeneo ya mangombole...kuna mashamba yana scheme ya umwagiliaji

Nlipata kdg sema hapo dongo halikuwa zuri kwa kitungu.

Ufutq nlilimaga dodoma,mlowa kuna pori linaitwa madimo,hilo pori sisi ndy watu wa kwanza kwenda huko kulisafisha na kuanza kulima...nakumbuka kulima tulitumia ngombe,tena tuliwafatq mpunguzi kuwakodi
Ila ufuta nlikula za uso.

Sema badaye watu wote huko nao wakalivqmiq pori hilo kuanza nao kulima.

Ukienda huko mkuranga mwarusembe tumelima sana tikikiti na matango.

Mpunga nmelima kwenye mashamba ya mstaafu rip mwinyi dakawq.

Nyanya nmelima morogoro sehemu za magole ,kuna Estate farm ya Don mmoja
Nkiendelea kutoa cv ya kulima himu ntajaza server ya jf 😄
Hawa wanaohifqnyq sjui bbm bbt sjui wanazungumzia kilimo tunawa zoom tu

Ova
 
Mkuu wewe ni fighter. Lini mwaka gani tikiti maji ulilima Mwalusembe? Pia mimi nilijaribu 2014 hapo Mwalusembe nilikula za uso. Pia Ufuta Nikala za uso. Pia vitunguu Mang'ola nikala za uso. Mahindi usiseme nikala za uso. Nikaamua tu kuendelea na kubeba boksi. Halafu majitu yalionipiga pesa hayana aibu bado yanaendeleaga kuniombaga hela.

Ila napenda sana kilimo na ufugaji. Siku umri ukienda nataka nitulie kwenye hiyo sekta.
 
Kilimo Cha mitandaoni ni kizuri,ingia kwenye uhalisia ndo utajua hujui
 
Mwalusembe ulilimia wapi,mm nlilimia maeneo ya mainge
Tikitiki nlipiga sana bao...
Sema sahv nna miaka 3,4 sjajishugulisha na mitkasi hizo

Ova
 
Za uso mjegeje
 
We noma sana na bado hujatoboa, na dijaona dehemu umetoa poditive ni negatice tu, kwa hiyo unataka kusema wtuu wasilime kilimo hakilipi kabisa
 
Mkuu nipe bei ya hiyo solo pump inatumia betri na kwa mwanza nazipata wapi? kama una mawasiliano nao naomba unipm au hapahapa
 
Jamaa yangu alikopa m15 akaemda eti kulipa mbogamboga ruvu akakodi na shamba kabisa hahahaaaaaa naogopa kumalizia maana ilikuwa makasiriko kwa kila mtu.
Alilima mboga gani? Manake sie tupu huku na tunaingiza pesa
 
Poleeee sana
 
Mkuu no yak
O haipatikani kabisa Nini shida?
 
Pole sana ndugu, unajitolea kuandika somo zuri kabisa then watu wasio na shukrani wanakudhihaki. Unamdhihaki vipi mtu amejitolea kueleza experience ambayo huenda itasaidia wengine? Hujuei mtu anatumia kifaa gani kuandika, kwa tabu gani lakini bado hauridhiki.

Uzoefu wangu unaniambia hakuna kilimo rahisi, hicho kitunguu kilichokuumiza wewe kimempa karibia milioni hamsini mdogo wangu kwenye eka mbili. Hizo nyanya ulizozikimbia kuna watu wamepiga pesa. Hayo mahindi wanayosema watu mimi binafsi yamenipa pesa mwaka jana, na mwaka huu bado yako shambani nasubiri kuvuna.

Kilimo ni biashara, kinahitaji consistency ili ujenge uzoefu, uzalishe kwa wingi na upate faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…