Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

Sarawe ipo Wilaya ya Shinyanga vijiji, inapakana na kahama,. Ili ufike salawe ukiwa Mwanza fika stendi ya Misugwi-Mwanza, wambie unaenda salawe, au fika sehemu panaitwa Ngudu-Mwanza hapo panda basa itatoka asbh sana kwenda kahama kuptia road ya vumbi wambie unaenda salawe, au Fika Shinyanga stendi ya zamn wambie unaenda salawe, au kahama stendi ya zaman wambie uanda salawe.

Mm syo mwenyej huko ila niliwh kupta nikiw naenda kahama kwel pako vzr na mm niliuliza hapa n wapi,

Ukiwa hapo n karbu na kahama.
upo sawa mkuu kuna mbuga sana wasukuma wameshalewa na ndegu pekee na mahindi mazao ya umwagiliaji hawana habari nayo
 
Mkuu namtafu
Nimezawaliwa pale na nimekulia pale Mahando,Niko Katavi Tanganyika kwasasa lile eneo Huwa hawaweki mbolea linasitawi sana ni Mbuga ambayo Iko mwambao wa ziwa Viktoria ukitokea Mahando kuelekea kaskazini kunavijiji kadhaa utavipita na kukutana na mradi wa maji ya ziwa Viktoria unaotikea sehemu Moja Ihelele mradi huu ndo unatoa maji Mwanza kupeleka mikoa ya Jirani Shinyanga,Tabora nk.Nataka kusema nini project utakayoenda kuweka labda iwe ya wizi vinginevyo hawaruhusu kabisa kufanya shughuli yoyote ya kilimo kwenye maeneo hayo , other wise mwenyeji wako hakukufafanulia
Mkuu naomba unisaidie kumjua jamaa yangu sana anaitwa kisendi pastory huyu jamaa alikuwa anasomea mbeya (Afya) wadogo zake ni akina kushoka(shoka alikuwa na saloon hapo senta mahando.)

Kuhusu bikoni ni kweli lakini Kuna maeneo Bado hawajaweka pia Kuna maeneo yenye mito ambayo hukausha maji mwezi 10.

Nilikuwa huko mwezi huu mwanzoni na nimebahatika kupata heka2 zipo vzr tu wenyeji wangu ni family ya nyasi na kulwa msabato. Nadhani kama umesomea hapo umepata picha kamili mkuu.
 
hongera jamaa heka ulpata za kukodi ama kununua? na bei ya kukodi huwa ikojee....? maana mpka sasa sijaenda ila nkipata mda ntaendaa lazima
 
Wakuu habari za muda huu.

Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara

Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara naomba unipe support ya elimu kuhusu kilimo hiki na maeneo yanayofanya kilimo hiki maana kuna siku nliwahi pita njia ya kwenda Hydomu kutoka Katesh niliona wakulima wakifanya kilimo hicho.

Pia Singida huwa naona vitunguu vingi vikipangwa barabarani haswa nkiwa nasafiri

Naombeni elimu nijue maana nahitaji nifanye hicho kilimo.

Karibuni sana wapendwa.
Njia ya Hydom kuna kijiji kinaitwa MWANGA ni maarufu sana kwa kulima vitunguu.

Manyara ni MANG'OLA ndiyo wanalima
 
hiyo njia naijua aisee kuna dr pale hydomu hospital alilima pale vitunguu alipata ml45 mkuu
Lakini biashara/project yeyote huwa rahisi/nyepesi sana ukiwa unasimuliwa.

Ila ingia ndani ukajionee mwenyewe, mambo huwa si rahisi kama watu wanavyosimulia hapa.

Hakunaga pesa inapatikanaga kirahisi, hapo kwenye milion 45 huenda mwenzio alitumia gharama hadi milion 30
 
jamaaa alitumia mtaji mkubwa sana sema hakuweka mambo yote hadhari..
 
jamaaa alitumia mtaji mkubwa sana sema hakuweka mambo yote hadhari..
Ndo hivo, mimi kuna mshikaji wangu alitoka mkoa flan kaenda KATAVI kulima vitunguu, amekaa huko mwaka mzima akiwa ameacha mke na watoto mkoa mwingine huku akiwa amewaambia kuwa anaenda kutafta.

Alikaa huko mwaka mzima, akalima vitunguu akavuna akauza akapata milion 5, akaja kupiga hesabu ya gharama aliyotumia kuanzia kuanzia kukodi shamba, mbegu, vibarua, mbolea n.k akajikuta amepata faida ya laki 4 tu.

Imagine umeacha mke na watoto mwaka mzima ukiwa umeenda kutafta alafu unarudi laki nne ya faida, yaani ilibidi hadi mke akaenda kumshtaki kwa baba ake mzazi (Baba mkwe wa mwanamke).
 
jamaa kuna sehemu alifeli kilimo nacho ni hesabu kali... yani uweke ml5 upate faifa lak4 kuna sehemu jamaa hakufanya inavyotakiwa
 
sijawahi lima kitunguu...ila ninaexperience furani kuhsu kilimo cha umwagiliaji... hiyo hela ingepata mchakarikaji ktk kilimo cha umwagiliaji jamaa angekuwa mbali sana
 
Back
Top Bottom