Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

Mkuu huyo bado alikua mshindi Sana, kosa alilofanya ni kutoendelea na miaka mingine. Kuna faida nyingi Sana alizipata ambazo zipo inform of "experience". Hakuna utajiri wa halalali na wa kudumu utakaoutengeneza ndani ya mwaka 1.
😂😂😂

Eti "hakuna utajiri wa halali na wa kudumu unaotengezwa ndani ya mwaka mmoja" 😂😂😂
 
Ndo hivo, mimi kuna mshikaji wangu alitoka mkoa flan kaenda KATAVI kulima vitunguu, amekaa huko mwaka mzima akiwa ameacha mke na watoto mkoa mwingine huku akiwa amewaambia kuwa anaenda kutafta...
Unafaham kwa deb la vitunguu linatoa kg ngap?
 
Nimezawaliwa pale na nimekulia pale Mahando,Niko Katavi Tanganyika kwasasa lile eneo Huwa hawaweki mbolea linasitawi sana ni Mbuga ambayo Iko mwambao wa ziwa Viktoria ukitokea Mahando kuelekea kaskazini kunavijiji kadhaa utavipita na kukutana na mradi wa maji ya ziwa Viktoria unaotikea sehemu Moja Ihelele mradi huu ndo unatoa maji Mwanza kupeleka mikoa ya Jirani Shinyanga,Tabora nk.Nataka kusema nini project utakayoenda kuweka labda iwe ya wizi vinginevyo hawaruhusu kabisa kufanya shughuli yoyote ya kilimo kwenye maeneo hayo , other wise mwenyeji wako hakukufafanulia hili
Uko Tanganyika nasikia kitunguu kinasitaw
 
Mkuu namtafu

Mkuu naomba unisaidie kumjua jamaa yangu sana anaitwa kisendi pastory huyu jamaa alikuwa anasomea mbeya (Afya) wadogo zake ni akina kushoka(shoka alikuwa na saloon hapo senta mahando.)

Kuhusu bikoni ni kweli lakini Kuna maeneo Bado hawajaweka pia Kuna maeneo yenye mito ambayo hukausha maji mwezi 10.

Nilikuwa huko mwezi huu mwanzoni na nimebahatika kupata heka2 zipo vzr tu wenyeji wangu ni family ya nyasi na kulwa msabato. Nadhani kama umesomea hapo umepata picha kamili mkuu.
Mimi si tu kusoma nimzaliwa,Kisendi namfahamu sana hata yeye ananijua ,kushoka alishafariki Ndugu yake Kisendi anaitwa Magolyo yupo Geita kwa Inyasi YAKOBO napajua ni ndugu kwa upande wa Bibi kizaa Baba .ukiulizia mtu ana itwa Samwel Boniphace,au Mwanagokele nafahamika sana pale😄😄
 
Mimi si tu kusoma nimzaliwa,Kisendi namfahamu sana hata yeye ananijua ,kushoka alishafariki Ndugu yake Kisendi anaitwa Magolyo yupo Geita kwa Inyasi YAKOBO napajua ni ndugu kwa upande wa Bibi kizaa Baba .ukiulizia mtu ana itwa Samwel Boniphace,au Mwanagokele nafahamika sana pale😄😄
Nisaidie kumpata kisendi. Nakumbuka kipindi anaumwa kushoka alikuwa mjomba wake mstaafu sijui mwalimu ama la nilienda pale kumuona.
Naomba mawasiliano ya kisendi tafadhar
 
Nikweli kabisa hii na hurumii generator unatumia mitaro ya moto tu
Mkuu Adventure C,
Unaweza kufafanua kidogo kuhusu Kilimo Cha umwagiliaji maeneo ya Tanganyika?
Kwamba ni Kijiji Gani, utaratibu upoje kupata Mashamba na zaidi sana Hiyo mitalo ya kunyweshea.
Mbali na vitunguu na nyanya, je, Kuna uwezekano wa kumwagilia maharage, karoti, njegere na maboga?
Njia ipi ni rahisi kufika huko Kwa kutokea Dar?
Naomba Ufahamu Tafadhari.
 
Back
Top Bottom