Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

Mkuu huyo bado alikua mshindi Sana, kosa alilofanya ni kutoendelea na miaka mingine. Kuna faida nyingi Sana alizipata ambazo zipo inform of "experience". Hakuna utajiri wa halalali na wa kudumu utakaoutengeneza ndani ya mwaka 1.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti "hakuna utajiri wa halali na wa kudumu unaotengezwa ndani ya mwaka mmoja" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo hivo, mimi kuna mshikaji wangu alitoka mkoa flan kaenda KATAVI kulima vitunguu, amekaa huko mwaka mzima akiwa ameacha mke na watoto mkoa mwingine huku akiwa amewaambia kuwa anaenda kutafta...
Unafaham kwa deb la vitunguu linatoa kg ngap?
 
Uko Tanganyika nasikia kitunguu kinasitaw
 
Mimi si tu kusoma nimzaliwa,Kisendi namfahamu sana hata yeye ananijua ,kushoka alishafariki Ndugu yake Kisendi anaitwa Magolyo yupo Geita kwa Inyasi YAKOBO napajua ni ndugu kwa upande wa Bibi kizaa Baba .ukiulizia mtu ana itwa Samwel Boniphace,au Mwanagokele nafahamika sana paleπŸ˜„πŸ˜„
 
Nisaidie kumpata kisendi. Nakumbuka kipindi anaumwa kushoka alikuwa mjomba wake mstaafu sijui mwalimu ama la nilienda pale kumuona.
Naomba mawasiliano ya kisendi tafadhar
 
Nikweli kabisa hii na hurumii generator unatumia mitaro ya moto tu
Mkuu Adventure C,
Unaweza kufafanua kidogo kuhusu Kilimo Cha umwagiliaji maeneo ya Tanganyika?
Kwamba ni Kijiji Gani, utaratibu upoje kupata Mashamba na zaidi sana Hiyo mitalo ya kunyweshea.
Mbali na vitunguu na nyanya, je, Kuna uwezekano wa kumwagilia maharage, karoti, njegere na maboga?
Njia ipi ni rahisi kufika huko Kwa kutokea Dar?
Naomba Ufahamu Tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…