Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Igurusi iko mkoa na wilaya gani mkuu?
Igurusi
Mwezi wa 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igurusi
Mwezi wa 7
MbeyaIgurusi iko mkoa na wilaya gani mkuu?
Bei huko je huko MaketeNenda Makete, mashamba yako mengi na bei ni ndogo.
Sio kukatisha tamaa , wewe unalima kitunguu je unatumia kiasi gani ?Watu wanapenda sana kuwakatisha tamaa wakulima wapya. Yaani kivipi utumie milioni tatu kwa heka?
Nimepigiwa mahesabuvya kulima heka moja imekuja mil3 ebwana ni kweli??Sio kukatisha tamaa , wewe unalima kitunguu je unatumia kiasi gani ?
Inategemea unalima namna gani - kama ukienda na drip irrigation , itakwenda zaidi ya hiyoNimepigiwa mahesabuvya kulima heka moja imekuja mil3 ebwana ni kweli??
Yah sababu ya vifaa..wataalamu wanasema uwe atleast na mil5Inategemea unalima namna gani - kama ukienda na drip irrigation , itakwenda zaidi ya hiyo
Mkuu, feedback kama hutajaliAhsante kwa michango yenu wataalam, hapa nmeamua nchukue mbegu kutoka kwa wakulima njarbu heka tano nione km nitapata manufaa
Oky, mkuu nipo hatua nzur nashukuru mungu sjapata changamoto kubwa maana nlkolimia hakuna hata wadudu, kaz kubwa ilkuwa kumwaglia nmepga mbolea Mara mbili mzgo ukaitka natarajia mwez wa nane mwishon nianze kuvuna changamoto soko lmeyumbaMkuu, feedback kama hutajali
Umefikia wapi
Hiki kilimo nmekipenda ntalima na wakat wa masika npunguze mashamba ya mahindOky, mkuu nipo hatua nzur nashukuru mungu sjapata changamoto kubwa maana nlkolimia hakuna hata wadudu, kaz kubwa ilkuwa kumwaglia nmepga mbolea Mara mbili mzgo ukaitka natarajia mwez wa nane mwishon nianze kuvuna changamoto soko lmeyumba
Tafuta namna ya kuhifadhi (storage) ili kusubiri soko libadilike upige pesa, nasikia vitunguu vikiwekwa vizuri vinakaa hata mwakaOky, mkuu nipo hatua nzur nashukuru mungu sjapata changamoto kubwa maana nlkolimia hakuna hata wadudu, kaz kubwa ilkuwa kumwaglia nmepga mbolea Mara mbili mzgo ukaitka natarajia mwez wa nane mwishon nianze kuvuna changamoto soko lmeyumba
Mungu mwemaOky, mkuu nipo hatua nzur nashukuru mungu sjapata changamoto kubwa maana nlkolimia hakuna hata wadudu, kaz kubwa ilkuwa kumwaglia nmepga mbolea Mara mbili mzgo ukaitka natarajia mwez wa nane mwishon nianze kuvuna changamoto soko lmeyumba
Ahsante kwa ushauri ndguTafuta namna ya kuhifadhi (storage) ili kusubiri soko libadilike upige pesa, nasikia vitunguu vikiwekwa vizuri vinakaa hata mwaka
Gunia saivi shingapi???....Oky, mkuu nipo hatua nzur nashukuru mungu sjapata changamoto kubwa maana nlkolimia hakuna hata wadudu, kaz kubwa ilkuwa kumwaglia nmepga mbolea Mara mbili mzgo ukaitka natarajia mwez wa nane mwishon nianze kuvuna changamoto soko lmeyumba
Oky, mkuu nipo hatua nzur nashukuru mungu sjapata changamoto kubwa maana nlkolimia hakuna hata wadudu, kaz kubwa ilkuwa kumwaglia nmepga mbolea Mara mbili mzgo ukaitka natarajia mwez wa nane mwishon nianze kuvuna changamoto soko lmeyumba
Mada inanihusu hii. Naweka kambi hapa. Mtoa mada ubarikiwe, nami nina plan ya kulima hiyo kitu this year.
Kuna mtu aliniambia Singea mashamba yameisha bei imekuwa juu hivyo akanishairi nisogeze huko namtumbo ni kweli?