Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Wakuu embu tusaidiane hapa ni maeneo yepi huwa kitungu inaiva fresh?embu kila mtu hapa aje nahali ya hewa aliko yy,.
 
Ukulima wa vitunguu kwa kweli ni mzuri na una faida kubwa kuliko kufikiria kuajiriwa ingefaa vijana tuwekeze kwenye kilimo vitunguu vinalimwa sana maeneo ya Morogoro na Iringa
 
naomb msada ni sehemu gani morogoro wanalima kitungu na kipato chao kikoje mwenye kujua anifahamishe
 
mimi nshalima kilosa seheem ya mvumi na lumumo mm nna uzoefu kiasi....kweli kitungu knalipa ila ombea usikutane na changamoto zke utaliaaaaa

Changamoto ndo tunazohitaji kuzijua mkuu
 
kwa igawa wanapima vidole ktk upandaji.pato niguni mia hdi mia20kw eka.soko ni msimu unaotoa mazao.mwez1 hd7 soko nzur

Mkuu hapo Igawa nimetafuta shamba nimechemka. Sasa hivi nimebahatisha maeneo ya Inyala.... But I will be back to Igawa to hustle....
 
kilimo kinalipa sana lakini ni bahati nasibu, nililima vitunguu, nyanya, tikiti, maharage na kufuga layers, mabadiliko ya tabia nchi, nyanya zikaharibiwa na mvua wiki la kwanza kuanza kuchuma, vitunguu hakuna uhakika wa kuvuna kwani huenda vikaenda na maji, vitakuwa tayari machi 20, tikiti zilioza baada ya mvua kujaza maji shamba, mahagwe ekari tatu yamekomaa, mvua inanyesha kupita kiasi-yataoza mengi,ekari mbili yanakaribia kukomaa pia. kuku wako wiki ya kumi

Zaidi ya milioni saba zimetumika, hasara tupu but najipanga upya kulima ekari tatu za nyanya(nimeshamwaga mbegu na kukodisha shamba) name kufuka broilers 300(wanakuja next wiki) ili kukuza mtaji, ukiingia kwenye kilimo jipange, vinginevyo utakufa kwa pressure.
 
Kilimo kinaweza kukutoa pia kinaweza kukuua kwa Pressure!

Inategemea umejipangaje tatizo ninaloliona Watu hawatafuti taarifa sahihi kwenye ZAO analotaka Kulima m2 anakurupuka anaingia Shambani kesho analia kwamba JEMBE limemtupa! mi nadhani kabla hujaingia kwenye KILIMO au UFUGAJI tafuta taarifa sahihi ikibidi Mwaka 1 B4 hujaanza Prjct yako natena icwe sehemu 1 Tafuta taarifa sehemu nyingi tofauti kisha changanya na zako!
 
hvi msowero WANA SCHEME YA UMWAGILIAJI? NAKM WANAO MAJI YAO NIYA HAKIKA?AU NI MTO WA MSIMU?MSADA PLS.
 
5.MBOLEA hapo iko tatizo unampa mbolea mifuko 5 akakuzie shamban yy anakuzia 2 hapo amekata production kwa30%
Mkuu baada ya kusoma hii nimeshapata jibu ya lile swali uliloniuliza.
Ngojea nirudi nikakujibu sasa.
 
KUJIPANGA KWNYE KILIMO NI MUHIMU..huwez ukalima mabonden kipind chamvua yakatokea mafuriko ukalaini nawakati unajua hilo
 
jaribu kutafuta historia yashamba kabla hujalima uliza yafuatayo..magadi mafuriko rutuba nk.hapo utafanikisha lengo
 
jaribu kutafuta historia yashamba kabla hujalima uliza yafuatayo..MAJI RUTUBA MAGADI MAFURIKO nk.Ni muhimu sna
 
Back
Top Bottom