Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

THANKS A LOT MR GEBA.GODBLESS U TIMES HUNDRED MILION.Godbless u 4ur maarifa given to us.
 
Jamani hata nyanya inalipa sna.chakuzingatia nikanuni yake
 
Kitunguu kinahifadhiwa kwenye ghala iliyetengenezw vizur na inapitisha hewa vizuri..kinawezakukaa zaidi ya cku90.
 
Tafadhali wakuu naulizia bei ya mbegu ya vitunguu aina ya RED bombey. Maana hapa nimekutana na mbegu tofauti tofauti na bei ni tofauti kutoka kwa wazalishaji wa hizo mbegu.

Hapa nacho angalia zaidi ubora wa mbegu zenyewe maana nasikia kuna Mbegu unaweza panda na zisiote vizuri.
 
Mkuu. Katika kilimo ni vyema ukazingatia hali ya hewa ili kuepuka hasara, mf. Nyanya kuna za msimu wa mvua ambazo ni eden. F1. Hizi huimili mikiki ya mvua na hivyo ukiweza kulenga msimu wa mvua ukawa nazo unAula. Kwani msimu wa mvua nyanya huwa bei juu.

Matikiti hayataki mvua hivyo timing ni muhimu hapa.
 
mbegu bora n red mbobay ila pendelea mbegu zinazolishw na wakulim wenyewe.cku hz huwa wanajitah sn nambegu zao zina ubor
 
KWENYE NYANYA MBEGU ZA HYBRID NDYO NZURI..MBEGU Z HYBRID NI KM ANNA EDEN NURU.tatizo huwa zinauzw bei ghali sna..
 

mkuu pole sana ila kila kitu ni kujipanga tu kikamilifu...mbona watu wanafanya na wana fanikiwa tena hakuna cha ndumba wala nini....
 
Mwaka huu najipanga vizuri ili mwakani niingie kufanya kweli
 
Naomba niwaulize wadau, mimi ni kijana na nipo ifakara wilaya ya kilombero mkoan morogoro. Hiv huku ifakara kilimo cha vitunguu au nyanya kinakubal kwenye ardhi ya huku na kama ndio ni maeneo ya wapi kwa hapa ifakara vinakubal.
 
Nimejifunza mengi sana kutoka kwenye huu mjadala wadau, Natanguliza shukrani zangu. Naomba kuuliza swali kwa wale wenye uzoefu...nasikia maeneo yanayohusika na kilimo cha mazao mbali mbali kuna biashara pia ya kukodisha mashamba kwa wamiliki wa mashamba, ningependa kujua huwa yanakodishwa kwa bei kiasi gani kwa heka na kama huwa yanakodishwa kwa mwaka au kwa msimu wa kilimo??
 


mkuu moshi n arusha wapi mashamba yanapatikana i have been there for some times, nimekua interested sana kulima izi vitunguu
 


mkuu vp jinsi ya kupata mashamba huko ni rahisi au?
 
Sehemu nyingi wanachofanya kilimo cha vitunguu huwezi kuta wanauza mashamba ila wanakodisha. Gharama ya kukodi huwa inategemeana na sehemu, kwa Lumuma jaruba moja linakodishwa kwa elfu 2 kwahiyo zidisha jaruba 100*2000 ndo gharama ya acre moja kukodi.

Kwa Magulu wanakodisha kwa acre na huwa ni laki 3 na nusu kwa acre. Pia mashamba hukodishwa kabla ya msimu kuanza, kwa mfano umeplan kulima msimu wa mwezi wa 3 mwakani, shamba unakodi mwaka huu mwezi wa 7 na huwa ni kwa msimu mmoja tu unarudisha shamba kwa mmiliki. Nadhan nimeeleweka kwa kiasi flan.


Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Km upo kwnye eneo la umwagiliaji hakuna kinachoshndikana.ilimrad eneo lisiwe n magadi.nakingne kufuata taratibu zakilmo
 


Nimekuelewa baraka607, ila ningependa kujua pia uzoefu wako na hizo gharama ni kwa mikoa gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…