Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Naomba mnisaidie juu ya ukulima wa vitunguu ni mwezi gn mzuri, Pia cjui process zake unaotesha au unasia km nyanya?
 
Unaoteshea kwenye vitalu bdye unahamishia shambn..
 
mku unashamba kubwa hapo ruvu?

Kaka ninalo shamba ruvu yani maji pembeni kabisa halafu naambiwa yanaenda baharini. Hii nchi acha tu.Vip unataka kunipa maujanja ninj? Tuwasiliane. Nimefikiria sana nimeona nianze kilimo mkuu. Tuwasiliane


The king.
 

ulianza kulima kiasi gani mwanzon
 
Mimi nataka nijikite so naomba wenye uzoefu na kilimo hicho wanisaidie ushauri khs sehemu, aina ya mbegu na namna ya kuhudumia shamba. mtu anichek kwenye 0752 664814
 
Mku hirima kwani we uko wapi?na unataka kufanyia project yako wapi?
 
Naona sasa hivi watu wako bize shambani. Kazi njema wakuu....
 
mimi nimejaribu mbeya kusema kweli hapa makadirio ya gharama inategemeana na eneo ila mimi mpaka jana nimemaliza kupandikiza gharama niliyoitumia imekuwa ndogo sana tofauti nilivyotarajia almost nusu ya makadirio ya hapa. mungu akijalia kama mazao yakikubali mwakan najiingiza ini full walau kwa heka 50. nawashukuru sana hasa Malila for contribution.
 

mbeya sehemu gani mkuu
 

mkuu upo mbeya sehemu gani hata mimi niko mbeya nataka nijaribu kilimo cha kitunguu je umelima shamba la ukubwa kiasi gani?
 
mkuuu mimi nimelima itimba, ukifika mbalizi unakata kulia kwako pale njia panda, nimejaribu acre moja na mwenzangu(wife) acre moja tuseme jumla acre mbili mwanzon nilikuwa naogopa sana gharama lakini inawezekana. mashamba ni yale ya mradi kwa hiyo hawauzi ila kuna sehemu nyingine nimepata karibia na mto mdau anauza acre 100 ndani ya mto
 

hongera mkuu kwa kuthubutu na mimi nipo mbioni kuanza nimeku-PM kwa maongezi zaidi.
 

Hayo mashamba wanauza bei gani mkuu?
 

huko Itimba kwenye hayo mashamba ya mradi naweza kupata ekari moja kwa sasa, utaratibu ukoje?
 
Kwa kitabu cha ukulima bora wa vitunguu tupigie Leo 0758303090 au tuma PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…