Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko


Jambo Jema Kaka.

Vipi gharama za kukodisha Shamba pamoja na vibarua. ?
 
nipo interesting sana na kilimo.........

pamoja na kilimo kunipatia hasara miaka mitatu mfululizo , ila bado sijakikatia tamaa........

najipanga , nikiwa full nitakutafuta.

Pacha vipi tena?
Kumbe nawe mkulima mwenzangu?
Pole sana kwa hasara!!
 
Water pump nakushauri utafute zile za kusukwa na mafundi, huwa zinauzwa kuanzia laki 9 ila huwa ni imara na inavuta maji mengi sana, ndan ya saa moja unakua ushamwagia eneo la ekari moja. Ila hizi za madukan za laki 3 hazifai kwa kilimo serious.

kuna muda nilishawishika kununua hizo za laki 3...vip hizo za kusuka mtaani zinatumia petrol pia?
 
Mimi kwa kweli mwaka huu kulima muhimu, nisipolima basi tena
 
Kama kuna whatsapp group ya kilimo mniadd namba yangu ni 0759922889,pili wakulima watarajiwa tafuteni soko kwanza kabla ya kulima maana storage ya vitunguu kwa wengi ni shida pia hii variety inatoa produce nzuri tatizo huwezi kuvihifadhi kwa muda mrefu kwani vina shingo kubwa na maji mengi pia harufu yake si kali
 
Nimesema kwa anaetaka kujiunga na group la kilimo whatsapp ani PM namba yake ya simu please!
 
Toeni go ahead kama hakuna group nilicreate now then ni post taharifa ya kuwapo kwa group mchango wangu mm niko chuo cha kilimo Tengeru na pia wapo wenzangu ninaosoma nao na waliomaliza pia ambao wanafahamu kilimo kwani wengi wameshaajiliwa na makampuni na serikali pia ni mabwana na bibi shamba
 

Mkuu li create then tengeneza post yenye mada tajwa uweke na namba zako tusonge mbele. Go ahead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…