Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kaveli
KARIBU TENA KUU

TURUDI KATIKA MASWALI YAKO

==============

A). Mkuu wangu, Bamia inaendelea vyema. Dawa/Sumu nilinunua za aina tatu: MUPA FORCE, PROFECRON, na ATTAKAN C. week ya kwanza nilipuliza MUPA FORCE. Week ya pili nilipuliza PROFECRON. Kesho week ya tatu natarajia kupuliza ATTAKAN C. Nazingatia ule ushauri wako kwamba ni vizuri kutumia dawa/sumu aina mbili au zaidi ili kuzuia usugu wa dawa kwa wadudu. Dawa ya ukungu bado sijapiga, ila natarajia kwenda kuchukua Ridomil Gold au Blue Copper au Multi Power Plus (sijuwi ni ipi the best kati ya hizo kwa kukinga & kutibu ukungu).; TAFUTA BLUE COPPER, NA MULTI POWER PLUS 78 WP, Ukikosa tafuta Score kutoka Syngenta Company. Utatumia Blue Copper kwa wiki za mwanzoni, Ila matunda yakianza utaanza kutumia Multi Power Plus 78WP hii ni nzuri sana maana ina kinga na tiba pia ndani yake (Viambata). Lakini faida ya Copper ni kinga ya ukungu/Kuvu/Fangasi, ila pia kirutubisho cha copper ni lishe pia kwa mmea, Copper ikikosekana pia majani hukauka kutoka nchani kuja ndani ya jani, shida hii huonekana sanaa kwa uwazi zaidi katika miche ya kitunguu, lakini pia Copper huyapa majani vigour, yaani afya yawe imara na kutengeneza chakula kwa ushurikiano na Iron (Fe-Chuma)

B). Hapa kwa wakulima wengine majirani, kuna ugonjwa ambao umekuwa common yaani unasumbua sana kwa wote. Majani yanajikunja irregularly, yaani kama yanasala hivi, ni kuanzia kwenye tawi mpk jani. Sio kule kujikunja kwa jani by red spider mites (utitiri mwekundu), hapana. Bali hii yenyewe ni kama ukichaa hivi, yani kuanzia tawi linajikunja kunja ovyo ovyo (kama herufi 'S') mpk kwenye jani. Mfano tawi linajikunja kunja kuelekea chini badala ya upward. Jani nalo linakuwa kwenye umbo la kujikunja kunja irregularly mfano jani linakutana kwa kujifunga/kujifunika lenyewe au jani linajifunua lenyewe kwa muelekeo wa downward (jani haliko soft na halikai ktk ordinary shape yake). Yaani binafsi naweza kuuita ni 'ukichaa' wa mmea.

Mkuu, huo ni ugonjwa gani? na tiba yake ni nini?

1. Dalili hizo chanzo chaweza kuwa ni wadudu /Vipepeo weupe kitaalamu huitwa Bemicia Tabaci-Husababisha Leaf Curl-Kujisokota kwa majani

Jaribu kucheki hizi picha huenda zikatoa Mwanga kidogo=Picha sehemu A na

na Hii pia hapa chini, tizama hizo arrow nyeupe zinapo point, namna jani linajikunja, hapo chini /nyuma ya majani ndipo wadudu huwa, kwa hiyo kama mpiga dawa hageuzi nozzle ya bomba, basi anawaacha hao wadudu bila kupata dawa.

2. Na kunawakati hata kukosekana kwa virubisho kutoka katika Booster, hasa Zinc, Boroni, na Manganese huweza leta hiyo shida-Hasa upungufu wa Manganese.
Upungufu wa Manganese

Kucontrol aina ya wadudu kama ni White flies, tafuta dawa yenye Imidacloplid ndani yake, au Cypermethrin au Abamectin, ukipata yenye sumu/ACtive ingredient mbili kati ya hizo itakuwa sawa, other wise chukua separetly yenye moja moja utakuwa uzipiga kwa kupishanisha (Wiki hii unapiga hii, na ile wiki unapiga yenye Active Ingredient nyingine). Baadhi ya dawa unazoweza kukuta viambata/Sumu mbili na zaidi ni kama vile. Nazitaja kwa trade name zake, Buffalo, Blast- Hizi mbili za kwanza unazipata kw a uhakika Balton Tanzania, kama uko Dar-Wako Mwenge kule, karibu na Itv KAMA SIJAKOSEA, nyingine, ni Duduall , nyingine ni Dudu Cypermethrin, nyingine Huuitwa Prosper.LAKINI HIZI TRADE NAMES, Zisikuchanganye, cha muhimu cheki ndani sumu iliyomo, hata kama kopo kwa nje limeandikwa Kaveli. Ila sumu ni hizo hapo wewe nunua. UKIPATA dawa za ukungu Multi k plus 78 WP, AU Score, itakusaidia pia kutibu Mild dew (Ubwiri unga ambao nao hushambulia sana wakati wa mvua, unakuta majani yana unga mweupe kwa juu). UPIGAJI unaweza changanya ndani yake, na dawa ya Wadudu na Booster pia. Fanya hivyo kisha ulete mrejesho. Kipimo cha dawa za wadudu ni mls15-20 kwa maji lita 15., Kipimo kwa dawa ukungu kama ni ya maji 30-50, kwa maji lita 15, kama ni za Ukungu, gram 50-80 kwa maji lita 15.

Umemkumba kila mkulima wa bamia huku tulipo. Wanasema ugonjwa huo hushamiri zaidi wakati wa masika kama hivi sasa. Wanasema mmea unakuwa fresh tu kwa week za mwanzo. Ila ukishakua kuelekea kuweka vifunda vya maua, hapo ndo mmea unaanza 'kuwehuka' kama nilivyoelezea hapo juu.

C) Kuhusu mbolea za maua na matunda... najua kuna Multi K, Super Grow, n.k. Je ni ipi ambayo ni the best? Nataka mmea utoe maua mengi. Nakumbuka you mentioned nutrients like zinc, boron, etc kwenye Boosters. So ni booster ipi ambayo ni bora sana kuliko zingine zote? Kwangu mimi the best booster ni 1st. Wuxal macro Mix 2. Omex Foliar Fertilizer 3. Yara Vita Tracel Biz-From Yara Company 4. Potphos.

D). Je ni kweli kwamba wakati wa mvua nyingi kama kipindi hiki, uchanuaji wa maua huwa ni hafifu sana? kutokana na uhaba wa jua.

=Hilo lina ukweli pia mkuu, hasa kama muda woote anga imetanda mawingu tu, na pia lishe hasa ya Boron na Zinc ikiwa chini, maua yatakuwa kidogo sana.Lakini pia epuka kupiga hizi dawa za wadudu wakati wa mchana sa 6-9 hapo, kwa kuwa utauua nyuki, wanaosaidia uchavushaji.

=====================================================

kilimomaarifa.tajiri, habari mkuu. Nimerudi tena ndugu.

A). Mkuu wangu, Bamia inaendelea vyema. Dawa/Sumu nilinunua za aina tatu: MUPA FORCE, PROFECRON, na ATTAKAN C. week ya kwanza nilipuliza MUPA FORCE. Week ya pili nilipuliza PROFECRON. Kesho week ya tatu natarajia kupuliza ATTAKAN C. Nazingatia ule ushauri wako kwamba ni vizuri kutumia dawa/sumu aina mbili au zaidi ili kuzuia usugu wa dawa kwa wadudu. Dawa ya ukungu bado sijapiga, ila natarajia kwenda kuchukua Ridomil Gold au Blue Copper au Multi Power Plus (sijuwi ni ipi the best kati ya hizo kwa kukinga & kutibu ukungu).

B). Hapa kwa wakulima wengine majirani, kuna ugonjwa ambao umekuwa common yaani unasumbua sana kwa wote. Majani yanajikunja irregularly, yaani kama yanasala hivi, ni kuanzia kwenye tawi mpk jani. Sio kule kujikunja kwa jani by red spider mites (utitiri mwekundu), hapana. Bali hii yenyewe ni kama ukichaa hivi, yani kuanzia tawi linajikunja kunja ovyo ovyo (kama herufi 'S') mpk kwenye jani. Mfano tawi linajikunja kunja kuelekea chini badala ya upward. Jani nalo linakuwa kwenye umbo la kujikunja kunja irregularly mfano jani linakutana kwa kujifunga/kujifunika lenyewe au jani linajifunua lenyewe kwa muelekeo wa downward (jani haliko soft na halikai ktk ordinary shape yake). Yaani binafsi naweza kuuita ni 'ukichaa' wa mmea.

Mkuu, huo ni ugonjwa gani? na tiba yake ni nini?

Umemkumba kila mkulima wa bamia huku tulipo. Wanasema ugonjwa huo hushamiri zaidi wakati wa masika kama hivi sasa. Wanasema mmea unakuwa fresh tu kwa week za mwanzo. Ila ukishakua kuelekea kuweka vifunda vya maua, hapo ndo mmea unaanza 'kuwehuka' kama nilivyoelezea hapo juu.

C) Kuhusu mbolea za maua na matunda... najua kuna Multi K, Super Grow, n.k. Je ni ipi ambayo ni the best? Nataka mmea utoe maua mengi. Nakumbuka you mentioned nutrients like zinc, boron, etc kwenye Boosters. So ni booster ipi ambayo ni bora sana kuliko zingine zote?

D). Je ni kweli kwamba wakati wa mvua nyingi kama kipindi hiki, uchanuaji wa maua huwa ni hafifu sana? kutokana na uhaba wa jua.

Ahsante.

-Kaveli-[/QUOTE]
 
[/QUOTE]

kilimomaarifa.tajiri, thanks a lot mkuu. Umenijenga vyema na sasa naanza kuelewa mambo ya kuzingatia. Hasa kwenye madawa ya wadudu, nimeelewa vyema sana. Pia nimejifunza kuwa kwenye kupandia, Phosphorus inahitajika kwa wingi. Kwenye kukuzia, Nitrogen inahitajika kwa wingi.

Naomba your more remarks kwenye mambo yafuatayo:

1. Kwenye mbolea ya KUPANDIA... ipi ni the best kati ya DAP, SAMADI KUKU, NPK, na YARA MILLER WINNER?

2. Kwenye mbolea ya KUKUZIA... ipi ni the best kati ya UREA, NPK, na YARA MILLER WINNER?

3. Sasa for my case... Nilipandia samadi ya kuku pekee. Mmea unaanza week ya tatu. Shina la mmea sio imara, shina nyembamba (labda kwavile bado umri mdogo). Pia mmea hauna green iliyokolea vizuri (labda kwasababu mvua nyingi). Hivyo, niweke mbolea ipi kati ya zifuatazo kwa ajili ya KUKUZIA ? :

- Urea
-NPK 17 17 17
-NPK 20 10 10
-YARA MILLER WINNER (nadhani ratio yake ni 15:9:20).

4. Kuhusu Boosters. Juzi nilienda kutafuta mbolea kwa agent wa YARA company. Nikapata mkanganyiko kidogo. Yule mhudumu alinambia kuwa 'Yara Miller tracel biz' ni booster ya MAJANI, yaani kuweka green (kijanikiwiti) kwenye mmea. Hii huwekwa wakati mmea ukiwa na umri wa week mbili.

Na 'Yara Vita Nitrabor' ni booster ya MAUA, yaani kubusti maua mengi na kuyashikilia. Hii huwekwa wakati wa vitumba vya maua.

Kwakweli maelezo yake hayo yalinikanganya. Mie nilikuwa najua kuwa hiyo Yara Tracel Biz ni booster ya MAUA (both starter & finisher). Yeye anasema ni booster ya MAJANI.

Mkuu niweke sawa kwenye hizo concerns. Maana haya maduka ya pembejeo maeneo ya huku kwetu wanaweka wauzaji wasio na taaluma kwenye masuala haya. Wanauzia uzoefu tu.

Ahsante

-Kaveli-
 
Kaveli
karibu kiongozi

Pia nimejifunza kuwa kwenye kupandia, Phosphorus inahitajika kwa wingi. Kwenye kukuzia, Nitrogen inahitajika kwa wingi. =UKO SAWA KABISA, NA KWA NYONGEZA TU. WAKATI WA MATUNDA, Potassium(K) kwa mbolea za chini (Za kuweka kuzunguka shina) na Calcium hutakiwa sana ili kunenepesha matunda, au mazao yenye bulb, kama kitunguu etc, na booster zenye Nitrogen, Zinc na Boron hutakiwa sana wakati wa maua na matunda.

Naomba your more remarks kwenye mambo yafuatayo:

1. Kwenye mbolea ya KUPANDIA... ipi ni the best kati ya DAP, SAMADI KUKU, NPK, na YARA MILLER WINNER?
=Kwa mbolea za asili, Samadi (ya kuku, mbuzi, ng'ombe) ni nzuri sana=TATIZO LA HIZO MBOLEA ZA ASILI NI SLOW NUTRIENT RELISER-Yaani zinachukua muda mrefu sana kuanza kuachia virutubisho kwa mmea (3-6 months), ni nzuri sana hushikamanisha udongo, huongeza rutuba, na husaidia udongo kuhold maji kwa muda mrefu etc. Kama utapenda kutumia samadi, ziweke shambani 3 months kabla ya kupanda. Kwa mbolea za viwandani DAP, AU MAP ni nzuri sana coz zina Phosphorus kwa wingi, lakini na zinafanya kazi haraka.LAKINI pia unaweza weka DAP/MAP wakati wa ku[anda hata kama shamba ulishaweka samadi, ili kusaidia kuupa mmea lishe haraka. SAMADI YA KUKU, niz nzuri sana ina P-Phosphorus na Nitrogen (N) kwa wingi, ila inajoto sana , iweke mapema shambano, na hakikisha unaimwagia maji ili ipoe kabla ya kupanda, otherwise, itachoma mazao yote, ni kama Urea tu, ukiiweka kama hakuna maji, itachoma mimea, maana itadrain maji toka kwenye mmea

2. Kwenye mbolea ya KUKUZIA... ipi ni the best kati ya UREA, NPK, na YARA MILLER WINNER? =YARA MILLER JAVA na NPK (20:10:10-Ambayo namba ya kwanza kati ya yale makundi ya namba, sharti namba ya kwanza iwe kubwa kuliko hizo 2). Hizi ni nzuri zaidi. UREA, ni nzuri ila kama hauna maji, itachoma mimea yote.

3. Sasa for my case... Nilipandia samadi ya kuku pekee. Mmea unaanza week ya tatu. Shina la mmea sio imara, shina nyembamba (labda kwavile bado umri mdogo). Pia mmea hauna green iliyokolea vizuri (labda kwasababu mvua nyingi). Hivyo, niweke mbolea ipi kati ya zifuatazo kwa ajili ya KUKUZIA ? :

- Urea
-NPK 17 17 17=TUMIA HII
-NPK 20 10 10=UKIIKOSA HIYO TUMIA HII, ILA NPK (17:17:17) itakufaa zaidi, coz inaonekana hata Phosphorus haipo ya kutosha thats why mmea hauna shina imara, na N-Nitrogen pia ipo kidogo, ndio maana hakuna green ya kutosha. NA KUMBUKA mizizi imara na Shina Imara, kwa mmea, ni sawa na Msingi Imara kwenye nyumba,other wise kwa mmea utapata shida huko mbele wakati wa maua na mtunda.
-YARA MILLER WINNER (nadhani ratio yake ni 15:9:20).

4. Kuhusu Boosters. Juzi nilienda kutafuta mbolea kwa agent wa YARA company. Nikapata mkanganyiko kidogo. Yule mhudumu alinambia kuwa 'Yara Miller tracel biz' ni booster ya MAJANI, yaani kuweka green (kijanikiwiti) kwenye mmea. Hii huwekwa wakati mmea ukiwa na umri wa week mbili.

Na 'Yara Vita Nitrabor' ni booster ya MAUA, yaani kubusti maua mengi na kuyashikilia. Hii huwekwa wakati wa vitumba vya maua.

Kwakweli maelezo yake hayo yalinikanganya. Mie nilikuwa najua kuwa hiyo Yara Tracel Biz ni booster ya MAUA (both starter & finisher). Yeye anasema ni booster ya MAJANI.

Mkuu niweke sawa kwenye hizo concerns. Maana haya maduka ya pembejeo maeneo ya huku kwetu wanaweka wauzaji wasio na taaluma kwenye masuala haya. Wanauzia uzoefu tu.

YARA VITA TRACEL BZ

=INA KIWANGO KIKUBWA YA PHOSPHORUS=7.5%, ZINGINE KAMA NITROGEN,ZINC , BORON ETC, NI 5%, KWA HIYO UNAWEZA ITUMIA ANY TIME, KAMA STARTER (KWA SABABU YA NITROGEN NA ZINC NA BORON-ILI KULETA MAUA MENGI, NA KUCHNGAMSHA MMEA) AU PIA AS FINISHER ( KWA SABABU KUNA PHOSPHORUS, NA POTASSIUM, ZINC NA BORON KWA AJILI YA KUIMARISHA MATUNDA). LAKINI ZIPO FINISHER AMBAZO ZINA POTASSIUM KW WINGI ZAIDI KAMA VILE MULTI K, AU POLYFEED FINISHER

YARA NITRABOR, NI SAWA NA CAN YA KAWAIDA,

ISIPOKUWA HII YARA NITRABOR ( INA NITROGEN TOTAL 15%, NA Calcium=25.6%, na BORON 0.3%). INAYEYUKA HARAKA, NA IKO BA BORONI KIDOGO NDANI YAKE, NINAVYOJUA MIMI, HII HUWA TUNAIWEKA KATIKA MIZIZI, ILI KUSAIDIA KUIMARISHA GANDA LA TUNDA, NA KUNENEPESHA MATUNDA KAMA MATIKITI,AU VIAZI, AU KITUNGUU KAZI AMBAYO HUFANYWA NA Calcium (Ca) ETC

NB: UKIWA UNAPATA MUDA UWE UNAPITIA UZI WANGU MKUU: UNA MAMBO MENGI SANA AMBAYO BAADHI UMEKUWA UKIULIZA
Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi?? Karibu tushauriane

KILA LAKHERI

======================

kilimomaarifa.tajiri, thanks a lot mkuu. Umenijenga vyema na sasa naanza kuelewa mambo ya kuzingatia. Hasa kwenye madawa ya wadudu, nimeelewa vyema sana. Pia nimejifunza kuwa kwenye kupandia, Phosphorus inahitajika kwa wingi. Kwenye kukuzia, Nitrogen inahitajika kwa wingi.

Naomba your more remarks kwenye mambo yafuatayo:

1. Kwenye mbolea ya KUPANDIA... ipi ni the best kati ya DAP, SAMADI KUKU, NPK, na YARA MILLER WINNER?

2. Kwenye mbolea ya KUKUZIA... ipi ni the best kati ya UREA, NPK, na YARA MILLER WINNER?

3. Sasa for my case... Nilipandia samadi ya kuku pekee. Mmea unaanza week ya tatu. Shina la mmea sio imara, shina nyembamba (labda kwavile bado umri mdogo). Pia mmea hauna green iliyokolea vizuri (labda kwasababu mvua nyingi). Hivyo, niweke mbolea ipi kati ya zifuatazo kwa ajili ya KUKUZIA ? :

- Urea
-NPK 17 17 17
-NPK 20 10 10
-YARA MILLER WINNER (nadhani ratio yake ni 15:9:20).

4. Kuhusu Boosters. Juzi nilienda kutafuta mbolea kwa agent wa YARA company. Nikapata mkanganyiko kidogo. Yule mhudumu alinambia kuwa 'Yara Miller tracel biz' ni booster ya MAJANI, yaani kuweka green (kijanikiwiti) kwenye mmea. Hii huwekwa wakati mmea ukiwa na umri wa week mbili.

Na 'Yara Vita Nitrabor' ni booster ya MAUA, yaani kubusti maua mengi na kuyashikilia. Hii huwekwa wakati wa vitumba vya maua.

Kwakweli maelezo yake hayo yalinikanganya. Mie nilikuwa najua kuwa hiyo Yara Tracel Biz ni booster ya MAUA (both starter & finisher). Yeye anasema ni booster ya MAJANI.

Mkuu niweke sawa kwenye hizo concerns. Maana haya maduka ya pembejeo maeneo ya huku kwetu wanaweka wauzaji wasio na taaluma kwenye masuala haya. Wanauzia uzoefu tu.

Ahsante

-Kaveli-[/QUOTE]
 
Shukrani kwa mrejesho mkuu ila hii hesabu ya gharama zilizotumika naona haijakaa sawa, ukijumlisha kwa mujibu wa vitu ulivvyo orodhessha hapo juu.
Tsh.1,000,000/ kukodi shamba
Tsh.600,000/ mbegu
Tsh.200,000/ dawa
Tsh.150,000y palizi na umwagiliaji
JUMLA KUU ni Tsh.1.95 million.

Please make some clarification on this ili tunufaike wote.Shukrani
 
Mkuu bado tu hujapata mda uje utupe darasa?
 
anaweza akawa anahoja nzuri ila ameshindwa kuchanganua vizuri garama. me ni nalima pia lakini hizo garama sio.

mbulu kukodi shamb 1,000,000 kwa miaka miwili ulienda na mzungu nini?

kuna vigarama vingi sana umeviacha
 
kilimomaarifa.tajiri, thanks a lot mkuu. Umenijenga vyema na sasa naanza kuelewa mambo ya kuzingatia. Hasa kwenye madawa ya wadudu, nimeelewa vyema sana. Pia nimejifunza kuwa kwenye kupandia, Phosphorus inahitajika kwa wingi. Kwenye kukuzia, Nitrogen inahitajika kwa wingi.

Naomba your more remarks kwenye mambo yafuatayo:

1. Kwenye mbolea ya KUPANDIA... ipi ni the best kati ya DAP, SAMADI KUKU, NPK, na YARA MILLER WINNER?

2. Kwenye mbolea ya KUKUZIA... ipi ni the best kati ya UREA, NPK, na YARA MILLER WINNER?

3. Sasa for my case... Nilipandia samadi ya kuku pekee. Mmea unaanza week ya tatu. Shina la mmea sio imara, shina nyembamba (labda kwavile bado umri mdogo). Pia mmea hauna green iliyokolea vizuri (labda kwasababu mvua nyingi). Hivyo, niweke mbolea ipi kati ya zifuatazo kwa ajili ya KUKUZIA ? :

- Urea
-NPK 17 17 17
-NPK 20 10 10
-YARA MILLER WINNER (nadhani ratio yake ni 15:9:20).

4. Kuhusu Boosters. Juzi nilienda kutafuta mbolea kwa agent wa YARA company. Nikapata mkanganyiko kidogo. Yule mhudumu alinambia kuwa 'Yara Miller tracel biz' ni booster ya MAJANI, yaani kuweka green (kijanikiwiti) kwenye mmea. Hii huwekwa wakati mmea ukiwa na umri wa week mbili.

Na 'Yara Vita Nitrabor' ni booster ya MAUA, yaani kubusti maua mengi na kuyashikilia. Hii huwekwa wakati wa vitumba vya maua.

Kwakweli maelezo yake hayo yalinikanganya. Mie nilikuwa najua kuwa hiyo Yara Tracel Biz ni booster ya MAUA (both starter & finisher). Yeye anasema ni booster ya MAJANI.

Mkuu niweke sawa kwenye hizo concerns. Maana haya maduka ya pembejeo maeneo ya huku kwetu wanaweka wauzaji wasio na taaluma kwenye masuala haya. Wanauzia uzoefu tu.

Ahsante

-Kaveli-[/QUOTE]
mkuu una uchambuzi murua sana,,mm sijawahi kulima bamia ila maelezo yako yamenifunza vitu vingi sana, Ahsante sana

mm natarajia kulima mihogo huko vigwaza mkoa wa pwani mwishon mwa mwaka huu,natumai mchango wako wa mawazo utahusika pia mana nitaleta mrejesho mkuu
[/QUOTE]
 
Kiujumla angeweka cost benefit analysis na master plan ingekaa vizuri
 
You clicked on the point
 
Nililima kitunguu mvomero heka 6..
ile naanza kuvuna siku ya kwanza tu mvua ikanyesha sijui ilitoka wapi kiangazi.. kitunguu chote kikaoza sikuambulia hata mia..
Mpaka leo sitaki kukisikia hicho kilimo
pole
 
mkuu tindo,
hapo engosheraton mashamba huwaga bei gani kwa hili zao la vitunguu? na wanalima mwez gani sabab mvua za arusha nazo ni changamoto

Wanafanya kuanzia 250,000 - 300,000@ heka kwa msimu. Kilimo chake kinaanzia mwezi wa 4 mpaka wa 11. Huwa wanamwagilia kwa mfereji. Shida ni moja hasa wakati wa soko kwani vitunguu vingi huwa vinakuja toka eneo la Mang'ola, hivyo bei hushuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…