Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Bei ya kitunguu gunia ipoje kwa sasa sokoni? Nategemea kuvuna tar 22 mwezi huu july
 
kwema wakuu!

nimepitia uzi huu kabla sijajaribu kulima kitunguu saumu. nimekumbana na changamoto hii (tazama picha)

-kitunguu hakinenepeshi punje, badala yake punje zinachipua upya!
-kina miezi 3 toka kupandwa.
-nilitazamia kianze kukomaza tunguu sio kuleta vichipukizi.

NB: eneo niliko tuna uhaba wa watalamu wa kilimo.
 
Wakuu nimrlima vitunguu maji huku mbeya kama ekari moja naomba kujua bei yake ,na ushauli pia wa soko .
 
Dah, kuna kama punje 10 au zaid hukuziachanisha wakati unapukuchua kuandaa mbegu, kila kipunje hata kiwe kidogo kinatakiwa kipandwe peke yake na kwa nafasi yake. Ulifanya kama kupanda mbezu za mabindi30 kwa shimo moja huwezi ona maendeleo
 
Dah hii post imenikumbusha mbali sana.Yaani mimi ukiniambia KILIMO nakwambai KALIME ila isiwe kwa sababu ya kutatua shida zako ila iwe kwa sababu unaamini kwamba dunia inahitaji chakula and somebody must produce food.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…