Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother bei ya kitunguu hubadirika kulingana msimu, mfano msimu wa mvua bei huwa nzuri zaidi na wakati wa kiangazi has a September to November ni kipindi ambacho kitunguu huwa na bei mbaya zaidi hufikia hata chini ya 40,000/= na premium price hupatikana mwezi march to may mfano Soko la Makambako mwezi April plastic yenye ujazo wa Lita 20 ilikuwa inauzwa 28,000 zidisha Mara 7Hizo bei mbei na idadi ya movuno mbona inakinzana?niliulizia watu wanao kaasehemu zinazo limwa kitungu kama mwanga kileo wanasema heka moja inatoa gunia 80 mpaka 120 kama shamba litaudumiwa vizuri na bei ni laki 1 kama soko ni baya..kwa maelezo pitieni YOUTUBE search kilimo cha umwagiliaji cha vitunguu maji mtapata clips nyingi za wakulima mbali mbali wakizungumzia swala hili.
Mkuu mimi nililima Ruvu-Gange,nimeungua moto sana neti ya kilemba nimeuza kwa 23000 na kila neti inachukua debe nne.Naulizia bei ya vitunguu jamani. Mimi nimelimia Ruaha Mbuyuni, hapa bei haimlipi mkulima kwa sasa, gunia linauzwa shs 55,000 mpaka 60,000. Naambiwa Makambako ama Mbeya bei ni nzuri. Sijui Dar imekaaje, maomba msaada.
Umeshawahi kulima vitunguu ama unaongea kinadharia.Mwenye kuwa na majibu yanayobainisha juu ya huu mda kulima kitunguu tunaomba aje atueleze. Ila kwa mimi hofu kubwa ni kukutwa na mvua kikaharibiwa na maji ya mvua maana ukisia mbegu saiv September kutoka ni kwenye January, February.
Pia kuhusu soko. Naona kitunguu kimelimwa kila kona ya nchi, hapo sasa cjui itakuwaje, yaweza kuja kuporomoka bei. But, by the way ni kujipa moyo na kufanyia kazi changamoto ambazo unauwezo wa kuzikabiri.
nilipokuwa TZnimewah lima na kunitoa saana maeneo ya sanawali ya juuu. cha muhim cheza na soko pia tafta mbegu nzurikama RED CREOLE F1 japo ina gharama ila mbegu hii inazaa saana na pia inavumilia saana magonjwa na ukame. fanya ufanyavyo ila jitahid mwez wa tatu au wa nne uwe umepeleka kitunguu sokoni hapo utapiga hela mwana waneee balaa.
ila kinachangamoto saana aisee saana saana, ndio maana na recommend hyo mbegu kwa wale beginners. all the best.
kumbuka usi focus kweny nini utapata ila i tune akili yaako i focus kwenye changamoto za HYO KITU ni boraa kabala ya kuanza ukamtafta mtaalamu akakusaidia na akakueleza changamoto kwaanza kabla hajakueleza mafanikio.
Kama hilo eneo unalima lina vuli kumbuka kutengeneza matuta ya juu,kama hakuna vuli kiangazi hiki lazima uwe na hakika ya maji otherwise utaliwa.