Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nina kitunguu nategemea kukitoa mwezi wa 12 mwishoni au January mwanzonKitunguu chenye bei nzuri kinaanzia december to april, wakati huo wanaotamba na mzigo sokoni ni wale wenye uwezo wa kumwagilia tu. Lakini ukilogwa ukalima wakati wa masika may to september sokoni mzigo huwa mwingi kupita kiasi na bei yake hudondoka sana. Soko la kuanzia december to april wateja wanafuata mzigo wenyewe shambani tena kwa bei ya juu. Ukiwa na mzigo njoo tu hata hapa jukwaani uache namba ya simu uone huo usumbufu wa madalali.
Morogoro Sehemu Gani? Naomba nikutembelee nijifunze zaidi kutoka kwakoMorogoro mkuu
Mm nipo Kilimanjaro nduguMorogoro Sehemu Gani? Naomba nikutembelee nijifunze zaidi kutoka kwako
Ook gud mkuu hyo ni kwa kukodi au kununua shamba kabisaKuna jamaangu moja aliwahi kunidokeza kuwa eka moja pale kwa garama zote inaweza ikakugarimu mil5. Na mavuno yatategemea na ulivotunza. Gunia 80-120/eka. Mwezi uliopita gunia moja iliuzwa kwa 80,000/,
Kama hajajipanga mbegu tu anaweza asiamini [emoji3]Tuwasiliane mbegu ninauza na ni mkulima
Ntakuchek mkuu mambo yakiwa tayarTuwasiliane mbegu ninauza na ni mkulima
jamani naomba kuuuliza pia kwenye kulima vitunguu maeneo gani karibu na dar na morogoro yapo vizuri kulima vitunguu na uwa vinalimwa miezi ipi?Wakuu salamu.
Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.
Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji!
Kilimo Kwanza!