Sorry kwa thread yangu kukatika. kwa hiyo kwa maelezo hayo na mengine mengi sio kilimo kizuri sana lakini ni biashara nzuri sana na hio inatokana na kwamba inahitaki mtaji mkubwa ili kufanya kwa hiyo competition kwa watamyabiashara wadogo inakuwa ndogo mimi nilianza na mtaji wa 6m lakini ndani ya mwezi mmoja nina faida ya 6m nilifarijika sana so kama mtu anataka kujua namna ya biashara ya mazao naweza msaidia lakini kilimo chake hapana maana sikupata matarajio niliotaka.
nilifanya kilimo eneo la wilaya ya masasi mtwara . nw changamoto kubwa ua mwaka huu ni kutokanama na kwamba watu wengi sana walilima na hii ni kutokama na bei nzuri ya mwala jana. changamoto ni kuwepo kwa gharama nyingi za maandalizi mpaka siku ya mwisho ya kuuza unatumia pesa. mfano unahitaji kuwa na shamba kufyeka 60,000 kwa ekari kung'os visiki 30,000 kwa eka kulima 60,000 kwa eka kupanda 15,000 kwa eka kupalilia 20,000 kwa eka upuliziaji dawa 15,000 kwa ekari dawa ya kuua wadudu, dawa ya kukuzia 20,000 kwa ekari dawa ya kuua magugu kabla ya kulima 15,000*2 kwa eka na gharama nyingine za upepetaji ufuta nk. na mwisho ni changamoto ya bei pis inabidi kuwa mwangalifu katika kuacha nafasi kati ya shina na shina na mwisho ni bei ya kuuzia ambayo inayumba sana kutegemeana na soko.
Naomba tuanzishie topic moja moja, wengine tutamalizia
Nafanyia utafiti kila zao, na baada ya kutoka na nondo sahihi nitaanzisha na wengine watajazia.
mkuu nakusumbua sbb nataka nipate marifa zaidi ya ufuta sbb nampango wakulima na ndyo naenda kwnye mandalizi enyewe.
Asante sana mku hyo changamoto naweza kuikabili.vp kuhusu mbegu bora na pato lake kwa eka ni gunia ngapi?vp unajua kuhusu mbegu ya kampuni sedco?nasikia wanambegu nzuri ya ufuta.msda pls.
asante sna mku hyo changamoto naweza kuikabili.vp kuhusu mbegu bora na pato lake kwa eka ni gunia ngapi?vp unajua kuhusu mbegu ya kampuni sedco?nasikia wanambegu nzuri ya ufuta.msda pls.
mkuu nakusumbua sbb nataka nipate marifa zaidi ya ufuta sbb nampango wakulima na ndyo naenda kwnye mandalizi enyewe.
Kwa wale wanaohitaji mbegu wanaweza wasiliana nami.
mbegu yako ni ya kampuni gani?nimepata shamba km eka mia moro ila inahitaji kusafishwa sbb ni shamba jipya.vp unaweza ukanisaidia uwezekano wakupata shamba lingne yakukodi lililosafishwa?yenye uwezekano wakulima na trecta?msaada pls kwako na kwa wengneo wahumu na nje ya jf{wasomaji} 0752317974,wanicheki kwenye hi namba
Poa nimekupata,,,vp kuhusu shamba?naweza kupata shamba lililosafishwa?
Ninalo ambalo nilifanyia kazi mwaka jana ekari 15 zipo okey 15 nyingine zinahitaji kusafishwa tema ni shamba jipya na lina rutuba
Iko sehemu gani hyo shamba.taget ni shamba lilosafisha yakuingiza tractor.mashamba yasiyosafisha tunazo moro na tanga ila mda nikm hautaturuhusu kusafisha kwa mda nakuwah kilimo.taget yetu ni eka mia iliyosafishwa.km unaweza kutupatia tutashukuru.
Iko sehemu gani hyo shamba.taget ni shamba lilosafisha yakuingiza tractor.mashamba yasiyosafisha tunazo moro na tanga ila mda nikm hautaturuhusu kusafisha kwa mda nakuwah kilimo.taget yetu ni eka mia iliyosafishwa.km unaweza kutupatia tutashukuru.
Daaah japokuwa nalima ekari 5 tu lakini umenipa lesson 0652112026 tutaftane kaka unipe mautundu