Majuto Ngozi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 211
- 50
Wasiliana na mimi kwa namba 0717000990 nitakujulisha unapatikana wapi kwa wingi.Wadau,
Nina soko la ufuta , je bei ya soko ikoje hapa Dar es Salaam? Na unapatikana wapi kwa wingi? simu wake unaanza lini? Ninamaanisha ulioandaliwa vizuri kwa ajili ya export.
Natanguliza shukrani
Unao kiasi gani? Unauzaje?
Nimeskia zao hilo linalipa sana. Nina jamaa anafanyia export trading ndio wananunua sana hili zao ngoja ntamuuliza ila linalipa maana soko ni kubwa na wanakufuata shambani unataka kulimia wapi?
Hilo zao sidhani kama linastawi sehemu za baridi sanasana ni maeneo ya Pwani hasa so kama unataka kuwekeza jaribu kuwekeza katika hayo maeneo.nataka kulima iringa dear.naomba msaada.
Iringa sijaskia maeneo gani yanalimwa ufuta..ila mbeya na sumbawanga ndio sana inalimwa..but I hope Iringa itakubali maana hali ya hewa inafanana tu na hiyo mikoa niloitaja.Nataka kulima Iringa dear, naomba msaada.
We upo mkoa gani mkuuKwa wale wanunuzi wa ufuta au anaejua wanunuzi wa zao hili tafadhali tuwasiliane.ninao ufuta 0712660713
Karibuni SUNSHINE AGRICULTURE LTD. Tunanunua ufuta na mazao mengine ya biashara na chakula. Ambae yupo interested tafadhari ni'pm namba yako. Namba yangu nitaiweka hivi karibuni. Kwa sasa natumia namba binafsi sio ya ofisi.
Asanteni.
Okay, nashukuru sana kwaideas kuna eneo Iringa nasikia wanalima nkipata ukweli wa hili ntawajuza.Iringa sijaskia maeneo gani yanalimwa ufuta, ila Mbeya na Sumbawanga ndio sana inalimwa..but I hope Iringa itakubali maana hali ya hewa inafanana tu na hiyo mikoa niloitaja
Kwa wale wanunuzi wa ufuta au anaejua wanunuzi wa zao hili tafadhali tuwasiliane.ninao ufuta 0712660713
kwa mujibu wa ushuuda wangu hii kitu inalipa haswa ukifanya kilimo kikubwa..ninalima na mimi sasa ninasubiri mvua za kupanda..nitawapa mrejesho kadri itakavyokuwa.
Mbeya, wilaya ya Momba ufuta una stawi kwa wingi sana. Nina heka zaidi ya 500 uwezo wa mimi kulima ni heka 100 mwenye uwezo jamani tuungane!
habari niambie iwapo nataka kulima na wewe heka 100 zaidi tufanye vipi kwani mimi sio mzoefu,ila napenda tushirikiane mie nipo dar es salaamz
Sorry ni 0715393203ninaomba namba yako tafadhali,yangu ni 9715393293