Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Wadau,

Nina soko la ufuta , je bei ya soko ikoje hapa Dar es Salaam? Na unapatikana wapi kwa wingi? simu wake unaanza lini? Ninamaanisha ulioandaliwa vizuri kwa ajili ya export.

Natanguliza shukrani
Wasiliana na mimi kwa namba 0717000990 nitakujulisha unapatikana wapi kwa wingi.
 
Kwa wale wanunuzi wa ufuta au anaejua wanunuzi wa zao hili tafadhali tuwasiliane.ninao ufuta 0712660713
 
Nimeskia zao hilo linalipa sana. Nina jamaa anafanyia export trading ndio wananunua sana hili zao ngoja ntamuuliza ila linalipa maana soko ni kubwa na wanakufuata shambani unataka kulimia wapi?

Nataka kulima Iringa dear, naomba msaada.
 
Nataka kulima Iringa dear, naomba msaada.
Iringa sijaskia maeneo gani yanalimwa ufuta..ila mbeya na sumbawanga ndio sana inalimwa..but I hope Iringa itakubali maana hali ya hewa inafanana tu na hiyo mikoa niloitaja.
 
Karibuni SUNSHINE AGRICULTURE LTD. Tunanunua ufuta na mazao mengine ya biashara na chakula. Ambae yupo interested tafadhari ni'pm namba yako. Namba yangu nitaiweka hivi karibuni. Kwa sasa natumia namba binafsi sio ya ofisi.
Asanteni.


Mkuu nampango wa kuvuna ufuta
 
Iringa sijaskia maeneo gani yanalimwa ufuta, ila Mbeya na Sumbawanga ndio sana inalimwa..but I hope Iringa itakubali maana hali ya hewa inafanana tu na hiyo mikoa niloitaja
Okay, nashukuru sana kwaideas kuna eneo Iringa nasikia wanalima nkipata ukweli wa hili ntawajuza.
 
Kwa wale wanunuzi wa ufuta au anaejua wanunuzi wa zao hili tafadhali tuwasiliane.ninao ufuta 0712660713

Kuna kampuni ya wahindi iko kurasini inaitwa H S IMPEX huwa wananunua ufuta, choroko, dengu na maharage. Jaribu kutrace.
 
kwa mujibu wa ushuuda wangu hii kitu inalipa haswa ukifanya kilimo kikubwa..ninalima na mimi sasa ninasubiri mvua za kupanda..nitawapa mrejesho kadri itakavyokuwa.

Habari, yaonekana wewe ni mkulima mzoefu wa ufuta napenda kujua je kilimo hiki ni kigumu ama la, nataka kulima mwakani.
 
Mbeya, wilaya ya Momba ufuta una stawi kwa wingi sana. Nina heka zaidi ya 500 uwezo wa mimi kulima ni heka 100 mwenye uwezo jamani tuungane!
 
Mbeya, wilaya ya Momba ufuta una stawi kwa wingi sana. Nina heka zaidi ya 500 uwezo wa mimi kulima ni heka 100 mwenye uwezo jamani tuungane!

Habari niambie iwapo nataka kulima na wewe heka 100 zaidi tufanye vipi kwani mimi sio mzoefu, ila napenda tushirikiane mie nipo Dar es Salaam.
 
habari niambie iwapo nataka kulima na wewe heka 100 zaidi tufanye vipi kwani mimi sio mzoefu,ila napenda tushirikiane mie nipo dar es salaamz

Ninaomba namba yako tafadhali,yangu ni 9715393293
 
Anaelima Ufuta maeneo ya Mbeya tafadhali tuwasiliane Inbox mm huwa kila msimu Wa Ufuta nipo Mbeya Mbalizi nahitaji Ufuta mwingi Hata tani 300 kuendelea.
 
Back
Top Bottom