Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Tatizo tunakosa mpango wa kitaifa kushughulikia mambo yetu. Maana haiwezekani mtu utumie gharama kubwa afu kusio na mwendelezo.

Tunachoomba viongozi wawe na dhamira ya dhati katika kuleta mafaniko katika sekta nyingi hasa kilimo maana ndio uti wa mgongo
 
Kusini hii wanaiita green gold inalipa sana.

In 2 to 3 years unavuna mpka miaka 50 na kuendelea.

Mbolea wengi huenda kuifuata kanda ya kati uko mavi ya ngombe mengi tu.
Mkoa wa Ruvuma ipo ila haiwezi kukidhi mahitaji mfano Hanga na peramiho wana mbolea zao za samadi safi kabisa kwa matumizi
 
Pale kijijini kwetu moshi Nina hela zaidi ya 28 japo Ni za urithi lakini hii mada imenifikirisha kidogo maana naona Kama huku mjini napoteza muda kwa kuwatumikia wengine wakati frusa za kuweza kuendelea Zipo!
Karibu na usiwaze mara mbili. Shtuka na uzuri Moshi mko karibu na Kenya na Airport pia. Yanawabeba haya mawili
 
Nilimsikiliza jamaa mwny Co. Ya Malembo farm kwny kipindi cha kina masudi kipanya pale clouds+ cha saa 2 usiku.

Akasema sa hivi kinacho trend huko mitandaoni/mashambani ni kilimo cha parachichi(HASS) anasema wakulima wanalima sana na wote ukiwauliza mtauzia wapi wanakwambia Ulaya,ukiwauliza Ulaya nchi ipi maana sio nchi zote tunafanya nao biashara hawana majibu,ukiwauliza mnajua ni standards gani hizo nchi za ulaya zinataka ili kununua hayo matunda wao hawana majibu ila wanakwambia tu cha msingi iwe ni aina ya HASS.

Yajayo yanafurahisha,Parachichi inaenda kua kama kilimo cha Tikitimaji.
Tofautisha kauli na muda.
Kinachoipa promo parachichi ni kuwa mataifa mengi kama Mexico wamekutana na Environment Quarantine ya uzalishaji kwa kuwa washalima miaka na miaka na parachichi ni heavy feeder hivyo matumizi ya mbolea na ukaushaji wa vyanzo vya maji ni mkubwa. Hii imekuja kuipa fursa Tanzania maana hali ya hewa,udongo na mazingira kwa ujumla yanaboost hili zao,kingine wenzetu wanatumia sana tibalishe yaani matumizi ya lishe katika matibabu hivyo parachichi ina sifa kuanzia mafuta yake mpaka mbegu kwa kutengeneza mambo mengi ambayo ni lazima yatumike kila siku. Tutashindwa kuzalisha kukidhi soko sio sisi kujaza soko.
Note my words mkuu
 
Pandeni yakutosha..ili baada ya muda yawe kama maembe ya tabora kipindi cha msimu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Embe zilikula pest Quarantine na kipindi like exposure ya masuala ya ukaguzi na sumu hayakuwepo.
Siku hizi hautoi mzigo mpaka phyto issues zipitiwe na ruhusa ya crop inspectors iwe imepita.
 
Masoko yapo miaka yote ila kwa ajili ya wizara kubana sana kuhusu vibali hili ndio tatizo kubwa kwetu

Fursa ni nyingi na mazao na matunda ya kila aina yapo ila tutaishia kupeleka Kenya tu aidha kwa kificho au ki halali lakini kwa Ulaya soko wanalo wao maana sisi tumeshindwa kabisa kwa uzembe wa na roho mbaya sijui kwa Wizara husika au gov kwa ujumla

Ukiangalia supermarkets Ulaya utaona [emoji1649] zimeandikwa kuwa zimetoka SA, Kenya au Ug
Utaratibu wa kutoa vibali uangaliwe upo kwani tunapoteza fursa nyingi sana huku tukisifia sisi ndio kaka wakubwa wa EA
Umeongea vyema na changamoto ya soko ndio inafanya kuwa parachichi au mazao yetu yauzwe na madalali ambao ni wakenya. % ya makampuni yaliyo Njombe mengi ni wakenya watupu
 
Mataifa ya wenzetu wasomi w kilimo kila siku wapo busy Kuibua namna mpya na rahisi za uzalishaji katika kilimo

Yaani machine, mbegu technology zinakuwa kila kukicha
Ila ardhi na hali ya hewa hawana sisi wenye navyo tumekosa Soko la kuuzia
 
Umeongea vyema na changamoto ya soko ndio inafanya kuwa parachichi au mazao yetu yauzwe na madalali ambao ni wakenya. % ya makampuni yaliyo Njombe mengi ni wakenya watupu

Sisi kila sekta tunazidiwa na majirani
Wao wanapiga kazi za uhakika na kutangaza nchi na masoko ya uhakika hata kama bidhaa zinatoka kwetu ila wao ndio wanaopata faida zaidi
 
Sisi kila sekta tunazidiwa na majirani
Wao wanapiga kazi za uhakika na kutangaza nchi na masoko ya uhakika hata kama bidhaa zinatoka kwetu ila wao ndio wanaopata faida zaidi
Ni wakenya na wasudani kusini ndio wanatuacha katika kudandia.
Silaumu maana ni suala mtambuka na kuwekea mazingira rahisi ya kusafirishwa kwa bidhaa zao so sio sisi tu hata wenye mamlaka wanalazimika kupitia tena mafile
 
Yaani kuna shida sana kwetu
Kusafirisha nyanya au mbogamboga kwenda Ulaya au Uarabuni utasumbuliwa vibaya sana

Halafu mwisho wa siku yanaozea sokoni wakati masoko yamejaa na wanaohitaji wengi nje
 
Katika shughuli zangu za uchimbaji wa visima (drilling) nimekutana na mdau wa kilimo cha matunda anasema hiki kilimo cha parachichi bado kina tija, jambo la kuzingatia ni pamoja na ukubwa wa shamba lako endapo eneo unalolima halipo jirani na mashamba ya wengine. Anasema mnunuzi anapata shida kumfuata mtu wa miti sabini(ekari moja) aliye pekeake lakini mtu mwenye ekari tano inakuwa rahisi hata kma yupo pekeake.

Mfano yeye ana ekari thelathin sio mbali kutoka mji wa mafinga-Iringa. Na haimoi tabu katika kupambana na kitu kinaitwa soko.

Lakin pia hakikisha shamba lako lilipo linakuwa angalau uhakika wa miundombinu ya kufikika ili kukurahishia shughuli zako ikiwemo mnunuzi kufika kiurahis.

NYONGEZA: parachichi isipandwe msimu wa mvua, ila mvua ikute tayari ishashika ardhini angalau ipandwe mwezi wa tisa na kumwagiliwa kwa uhakika. Kama ni mchi kavu chimba kisima au tafuta namna ya kupata maji. Siku hizi teknolojia imerahisisha mambo huna shida ya kuwaza unapataje maji.
 
Kwnn isipandwe masika?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana ikipandwa masika miche mingi inakauka kwa sababu kwanza mmea unakuwa haupati maji kwa mtiririko mzur, pia unakuwa haujazoea mazingira . Lakin ukipanda kiangazi ni kwamba ile interval ya kumwagilia inaufanya mmea uutengenezee tabia fulani ya kuzoea mazingira. Hata mvua ikija inakuta ushazoea hvo haufi. Labda watafiti waendelee kufanya utafiti maana naona wengi wanapanda kiangazi tofauti na miti ya kawaida
 
Sisi kila sekta tunazidiwa na majirani
Wao wanapiga kazi za uhakika na kutangaza nchi na masoko ya uhakika hata kama bidhaa zinatoka kwetu ila wao ndio wanaopata faida zaidi
Hata mkizalisha zaidi, anaweza kuja mpambavu mmoja aka-ban export. We have seen this in the past.
Changamoto nyingine ya parachichi ni maji, hazihitaji maji mengi.Mwaka huu nimepoteza miche kama 50 kwa kosa hilo. halafu lazima unapozipanda either muwe wengi au uwe na uwezo wa kutosheleza soko, hutapata mnunuzi wa kuja kununua nusu container halafu alisafirishe thousand miles kutafuta pa kujalizia.
maji ni muhimu kwa mwaka wa kwanza, kama unategemea mvua jipange upate pondliner
 
Inasemekana ikipandwa masika miche mingi inakauka kwa sababu kwanza mmea unakuwa haupati maji kwa mtiririko mzur, pia unakuwa haujazoea mazingira . Lakin ukipanda kiangazi ni kwamba ile interval ya kumwagilia inaufanya mmea uutengenezee tabia fulani ya kuzoea mazingira. Hata mvua ikija inakuta ushazoea hvo haufi. Labda watafiti waendelee kufanya utafiti maana naona wengi wanapanda kiangazi tofauti na miti ya kawaida
Parachichi ni bora ikose maji kabisa kuliko kuzidiwa na maji
 
Back
Top Bottom