Mkoa wa Ruvuma ipo ila haiwezi kukidhi mahitaji mfano Hanga na peramiho wana mbolea zao za samadi safi kabisa kwa matumiziKusini hii wanaiita green gold inalipa sana.
In 2 to 3 years unavuna mpka miaka 50 na kuendelea.
Mbolea wengi huenda kuifuata kanda ya kati uko mavi ya ngombe mengi tu.
Kawaida parachichi yeyote ukiibebesha utaanza kuzaa ikifika miaka miwili na nusu ila hapa mada husika ni HassMkuu labda ulihoji ni mbegu gani hiyo ambayo inaanza kuzaa baada ya miaka miwili na nusu na pia ni aina gani hiyo ya mbegu yene ganda gumu ambalo hulifanya tunda lisiharibike haraka?
Karibu na usiwaze mara mbili. Shtuka na uzuri Moshi mko karibu na Kenya na Airport pia. Yanawabeba haya mawiliPale kijijini kwetu moshi Nina hela zaidi ya 28 japo Ni za urithi lakini hii mada imenifikirisha kidogo maana naona Kama huku mjini napoteza muda kwa kuwatumikia wengine wakati frusa za kuweza kuendelea Zipo!
Ni biashara kama biashara nyingine tahadhali na umakini ni muhimu. Watu huwa wanadharau kilimo na ndio maana hakiwatoi maana hawaweki huduma staikiParachichi za kisasa zinahitaji uangalizi wa hali ya juu, kama huna muda na fedha ya kuhudumia usijaribu hiki kilimo
Tofautisha kauli na muda.Nilimsikiliza jamaa mwny Co. Ya Malembo farm kwny kipindi cha kina masudi kipanya pale clouds+ cha saa 2 usiku.
Akasema sa hivi kinacho trend huko mitandaoni/mashambani ni kilimo cha parachichi(HASS) anasema wakulima wanalima sana na wote ukiwauliza mtauzia wapi wanakwambia Ulaya,ukiwauliza Ulaya nchi ipi maana sio nchi zote tunafanya nao biashara hawana majibu,ukiwauliza mnajua ni standards gani hizo nchi za ulaya zinataka ili kununua hayo matunda wao hawana majibu ila wanakwambia tu cha msingi iwe ni aina ya HASS.
Yajayo yanafurahisha,Parachichi inaenda kua kama kilimo cha Tikitimaji.
Embe zilikula pest Quarantine na kipindi like exposure ya masuala ya ukaguzi na sumu hayakuwepo.Pandeni yakutosha..ili baada ya muda yawe kama maembe ya tabora kipindi cha msimu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vyema na changamoto ya soko ndio inafanya kuwa parachichi au mazao yetu yauzwe na madalali ambao ni wakenya. % ya makampuni yaliyo Njombe mengi ni wakenya watupuMasoko yapo miaka yote ila kwa ajili ya wizara kubana sana kuhusu vibali hili ndio tatizo kubwa kwetu
Fursa ni nyingi na mazao na matunda ya kila aina yapo ila tutaishia kupeleka Kenya tu aidha kwa kificho au ki halali lakini kwa Ulaya soko wanalo wao maana sisi tumeshindwa kabisa kwa uzembe wa na roho mbaya sijui kwa Wizara husika au gov kwa ujumla
Ukiangalia supermarkets Ulaya utaona [emoji1649] zimeandikwa kuwa zimetoka SA, Kenya au Ug
Utaratibu wa kutoa vibali uangaliwe upo kwani tunapoteza fursa nyingi sana huku tukisifia sisi ndio kaka wakubwa wa EA
Ila ardhi na hali ya hewa hawana sisi wenye navyo tumekosa Soko la kuuziaMataifa ya wenzetu wasomi w kilimo kila siku wapo busy Kuibua namna mpya na rahisi za uzalishaji katika kilimo
Yaani machine, mbegu technology zinakuwa kila kukicha
Una uhakika umekosa soko la kuuzia? au haujatafuta?Ila ardhi na hali ya hewa hawana sisi wenye navyo tumekosa Soko la kuuzia
Umeongea vyema na changamoto ya soko ndio inafanya kuwa parachichi au mazao yetu yauzwe na madalali ambao ni wakenya. % ya makampuni yaliyo Njombe mengi ni wakenya watupu
Wanaolima wananielewa.Una uhakika umekosa soko la kuuzia? au haujatafuta?
Ni wakenya na wasudani kusini ndio wanatuacha katika kudandia.Sisi kila sekta tunazidiwa na majirani
Wao wanapiga kazi za uhakika na kutangaza nchi na masoko ya uhakika hata kama bidhaa zinatoka kwetu ila wao ndio wanaopata faida zaidi
Ni wakenya na wasudani kusini ndio wanatuacha katika kudandia.
Silaumu maana ni suala mtambuka na kuwekea mazingira rahisi ya kusafirishwa kwa bidhaa zao so sio sisi tu hata wenye mamlaka wanalazimika kupitia tena mafile
Kwnn isipandwe masika?Katika shughuli zangu za uchimbaji wa visima (drilling) nimekutana na mdau wa kilimo cha matunda anasema hiki kilimo cha parachichi bado kina tija, jambo la kuzingatia ni pamoja na ukubwa wa shamba lako endapo eneo unalolima halipo jirani na mashamba ya wengine. Anasema mnunuzi anapata shida kumfuata mtu wa miti sabini(ekari moja) aliye pekeake lakini mtu mwenye ekari tano inakuwa rahisi hata kma yupo pekeake.
Mfano yeye ana ekari thelathin sio mbali kutoka mji wa mafinga-Iringa. Na haimoi tabu katika kupambana na kitu kinaitwa soko.
Lakin pia hakikisha shamba lako lilipo linakuwa angalau uhakika wa miundombinu ya kufikika ili kukurahishia shughuli zako ikiwemo mnunuzi kufika kiurahis.
NYONGEZA: parachichi isipandwe msimu wa mvua, ila mvua ikute tayari ishashika ardhini angalau ipandwe mwezi wa tisa na kumwagiliwa kwa uhakika. Kama ni mchi kavu chimba kisima au tafuta namna ya kupata maji. Siku hizi teknolojia imerahisisha mambo huna shida ya kuwaza unapataje maji.
Hata mkizalisha zaidi, anaweza kuja mpambavu mmoja aka-ban export. We have seen this in the past.Sisi kila sekta tunazidiwa na majirani
Wao wanapiga kazi za uhakika na kutangaza nchi na masoko ya uhakika hata kama bidhaa zinatoka kwetu ila wao ndio wanaopata faida zaidi
Parachichi ni bora ikose maji kabisa kuliko kuzidiwa na majiInasemekana ikipandwa masika miche mingi inakauka kwa sababu kwanza mmea unakuwa haupati maji kwa mtiririko mzur, pia unakuwa haujazoea mazingira . Lakin ukipanda kiangazi ni kwamba ile interval ya kumwagilia inaufanya mmea uutengenezee tabia fulani ya kuzoea mazingira. Hata mvua ikija inakuta ushazoea hvo haufi. Labda watafiti waendelee kufanya utafiti maana naona wengi wanapanda kiangazi tofauti na miti ya kawaida