Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Walioshikilia vibali wao wana export kitambo tu wanapiga hela freshi wewe kiazi ndo unakimbizana na documents kila kukicha unapigwa kalenda. Ila deepdown utakuta ni dili ya waziri flani anaipiga kimya kimya hataki mumletee jam!Inawezekana walioshika vibali ndio wafanyabiashara so wanadhani wakiwapeni vibali mtawaovertake kwa hiyo wanabana ili wao waendelee kuwa wanufaika