Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Inawezekana walioshika vibali ndio wafanyabiashara so wanadhani wakiwapeni vibali mtawaovertake kwa hiyo wanabana ili wao waendelee kuwa wanufaika
Walioshikilia vibali wao wana export kitambo tu wanapiga hela freshi wewe kiazi ndo unakimbizana na documents kila kukicha unapigwa kalenda. Ila deepdown utakuta ni dili ya waziri flani anaipiga kimya kimya hataki mumletee jam!
 
Tatizo tunakosa mpango wa kitaifa kushughulikia mambo yetu. Maana haiwezekani mtu utumie gharama kubwa afu kusio na mwendelezo.

Tunachoomba viongozi wawe na dhamira ya dhati katika kuleta mafaniko katika sekta nyingi hasa kilimo maana ndio uti wa mgongo
Ukiachana na hayati Magufuli hamna mwengine atatokea apambanie hilo!
 
Shida ni roho mbaya na ukweli kwamba umasikini wa watu ni mtaji kwa wanasiasa hivyo hawapo tayari kuwasaidia wakulima kujikwamua kwa kuwatafutia masoko na kadhalika.

Hilo la roho mbaya upo sahihi kabisa
Hakuna sheria inayomlinda mkulima na mazao yake
Wao wanajua kuwasha kiyoyozi tu huku wajomba na shangazi zao wakihangaika
 
Hali ilivyo kuna uwezekano kukaunda ka kampuni uchwara ka kununua hayo maparachichi bongo kisha soko analikamata mwanasiasa mmoja anajipigia hela tu!
Na huo ndio ugonjwa mkubwa
 
Walioshikilia vibali wao wana export kitambo tu wanapiga hela freshi wewe kiazi ndo unakimbizana na documents kila kukicha unapigwa kalenda. Ila deepdown utakuta ni dili ya waziri flani anaipiga kimya kimya hataki mumletee jam!
Mfano saiv India wamefungua milango lakin je kuna uwaz?
 
Mtapigwa chenga tu hizo story za wamefungua milango ni siasa tu! Watakaoanza kupiga hela ni Bashe na washkaji zake nyie wanyonge ni mlolongo wa vibali na nenda urudi hazitoisha[emoji28]
Kabisa milango iliyofunguka ni ya kwao lakin sio kwa wananchi wote bila kuangalia tofauti zetu za kiuchimi, itikadi nk
 
Bongo pagumu sana......
Pagumu kweli kweli jamaa amenyoosh bank ya wakulima kule sahizi mambo ya uwezeshaji yako poa sana!

Ukiweza link na Tadb kwenye miradi unachomoka fasta! Nasubiria mama akavuruge aweke watu wa hovyo napo ili waharibu utaratibu! Maana nchi inarudishwa kwa wapigaji kwa kasi ya 5G!

Maana nimeskia hela ya serikali tena wanataka kuirudisha CRDB kama zamani😂 wana mipango hio!
 
Pagumu kweli kweli jamaa amenyoosh bank ya wakulima kule sahizi mambo ya uwezeshaji yako poa sana!

Ukiweza link na Tadb kwenye miradi unachomoka fasta! Nasubiria mama akavuruge aweke watu wa hovyo napo ili waharibu utaratibu!
Hapo umeongea kweli, lakin kwann wengi hawapati hii mikopo?
 
Hapo umeongea kweli, lakin kwann wengi hawapati hii mikopo?
Mkuu kule unatakiwa uwe umejipanga tu na una mradi ulioanzisha vizuri. Ukienda kule ushaanzisha kitu kimenyooka hela wanakupa af riba ndogo kichizi.
 
Back
Top Bottom