Walioshikilia vibali wao wana export kitambo tu wanapiga hela freshi wewe kiazi ndo unakimbizana na documents kila kukicha unapigwa kalenda. Ila deepdown utakuta ni dili ya waziri flani anaipiga kimya kimya hataki mumletee jam!Inawezekana walioshika vibali ndio wafanyabiashara so wanadhani wakiwapeni vibali mtawaovertake kwa hiyo wanabana ili wao waendelee kuwa wanufaika
Ukiachana na hayati Magufuli hamna mwengine atatokea apambanie hilo!Tatizo tunakosa mpango wa kitaifa kushughulikia mambo yetu. Maana haiwezekani mtu utumie gharama kubwa afu kusio na mwendelezo.
Tunachoomba viongozi wawe na dhamira ya dhati katika kuleta mafaniko katika sekta nyingi hasa kilimo maana ndio uti wa mgongo
Shida ni roho mbaya na ukweli kwamba umasikini wa watu ni mtaji kwa wanasiasa hivyo hawapo tayari kuwasaidia wakulima kujikwamua kwa kuwatafutia masoko na kadhalika.
Mfano saiv India wamefungua milango lakin je kuna uwaz?Walioshikilia vibali wao wana export kitambo tu wanapiga hela freshi wewe kiazi ndo unakimbizana na documents kila kukicha unapigwa kalenda. Ila deepdown utakuta ni dili ya waziri flani anaipiga kimya kimya hataki mumletee jam!
Mtapigwa chenga tu hizo story za wamefungua milango ni siasa tu! Watakaoanza kupiga hela ni Bashe na washkaji zake nyie wanyonge ni mlolongo wa vibali na nenda urudi hazitoisha😅Mfano saiv India wamefungua milango lakin je kuna uwaz?
Bongo pagumu sana......Ukiachana na hayati Magufuli hamna mwengine atatokea apambanie hilo!
Kabisa milango iliyofunguka ni ya kwao lakin sio kwa wananchi wote bila kuangalia tofauti zetu za kiuchimi, itikadi nkMtapigwa chenga tu hizo story za wamefungua milango ni siasa tu! Watakaoanza kupiga hela ni Bashe na washkaji zake nyie wanyonge ni mlolongo wa vibali na nenda urudi hazitoisha[emoji28]
Pagumu kweli kweli jamaa amenyoosh bank ya wakulima kule sahizi mambo ya uwezeshaji yako poa sana!Bongo pagumu sana......
Labda muunde timu ya exporters association ndio mtasikilizwa ila mmoja mmoja watapewa wale wenye hela ya maana tu!Hayo mambo ni fursa lakin mpka uhonge saana saana na wengi wanaishi kukata mtaji
Hapo umeongea kweli, lakin kwann wengi hawapati hii mikopo?Pagumu kweli kweli jamaa amenyoosh bank ya wakulima kule sahizi mambo ya uwezeshaji yako poa sana!
Ukiweza link na Tadb kwenye miradi unachomoka fasta! Nasubiria mama akavuruge aweke watu wa hovyo napo ili waharibu utaratibu!
Mkuu kule unatakiwa uwe umejipanga tu na una mradi ulioanzisha vizuri. Ukienda kule ushaanzisha kitu kimenyooka hela wanakupa af riba ndogo kichizi.Hapo umeongea kweli, lakin kwann wengi hawapati hii mikopo?
Mkopo ili upate unatakiwa uwe umeanzisha mradi na una work out! Wakija ku approve hilo wanakupa mzigoTukiunda ndio tunapata mwanya wa kupata mikopo ?
Eeh kama hujaanza ni ngumuSo kwa bigginers ndio utata
Muanzishe mradi hata kwa kuji organize tuAsant, je kwa bigginers nn kifanyike?