Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Yeah hapo ndio pagumu
Kwa sabbu unakuta mradi unahitaji 30M laki ukiwa alone hufikii lengo mwisho wa siku unakata tamaa , na watu kukubali maono ya mtu inahitaji Roho mt
 
Inauma sana kwa kweli wapigaji wamerudi kwa speed ya 5G kweli......
mtu wa chini kuchomaka tena maisha haya itakuwa ngumu mno.....
 
Mtapigwa chenga tu hizo story za wamefungua milango ni siasa tu! Watakaoanza kupiga hela ni Bashe na washkaji zake nyie wanyonge ni mlolongo wa vibali na nenda urudi hazitoisha[emoji28]

Mengi nakubaliana na wewe kuhusu hivyo vibali

Lakini mimi niko [emoji636] miaka zaidi ya 30 na sijawahi kuona produce za Tz kwenye masoko makubwa ya mbogamboga na matunda

Na kila wakati naenda kununua kwa ajili ya biashara kwenye International Market lakini cha ajabu utakuta ni Jirani zetu Kenya na Uganda mboga zao zipo na matunda pia

Hawa so called Wakubwa hawana akili za Kimataifa they are so thick pamoja na kuhodhi vibali wao wanaishia kupeleka kahawa, parachichi na mboga zingine hapo Jirani tu
Ndio uwezo wao huo
Sana labda wakifunguka kidogo labda Madini
 
Mie sielewi ugumu huwa ni nini? Kupeleka miswaada ya kisheria ya kupitisha vibano kama tozo na upuuzi mwengine hio huwa haicheleweshwagi yani tena inaweza ikapitishwa bila hata kujadiliwa😅 in public.

Linapokuja swala la kuruhusu vitu vya maendeleo ya watanzania kiuchumi kama kurasimisha malipo ya mtandaoni kama paypal, kuondosha vikwazo vya ku export produce hapo ndipo kasheshe yani vitu vya kufanywa itaanza milolongo ya ajabu ajabu! Kujadiliwa wala hutasikia wabunge wengi mbumbumbu wameingia mjengoni kwa njia za ndumba! Kelele ni za kupigana madongo na kila mmoja kumuona mwenzie hana akili!

Thinking yao ni ya miaka ya 70 huko😅 wachache tu ambao wamebahatika kupata watoto walio exposed na wanaishi nao vyema ndio wanaelewa dunia inavyokwenda
 

Inaumiza sana kuona haya yanatokea nyumbani

Ipo siku hao watoto labda watakuja kubadili haya mambo lakini sio kwa hawa wazee wanaopokeza uwaziri na kuwabadilisha badilisha mpaka yafe

Unakuta kuna watu wana over 70 na bado limo tu siasani halafu utakuta kasafiri nchi tatu au zero maisha yake

Sasa huyu unategemea ana exposure zipi?

Mungu saidia hawa wazee waondoke
 
Yani inatakiwa hiko kizazi cha 60’s kisafishwe kwenye Taasisi zote wabakie hawa wa kuanzia 70’s wamalizie ungwe zao!
 
shamba za kulima parachichi ekari 100 , na ekari 15 zinauzwa wilaya ya mfindi-mafinga . bei ni laki nne kwa ekari. kwa wanaohitaji mawasiliano 0682 276767
 
wale wanaohitaji mashamba ya kupanda parachichi mafinga-mufindi tuwasiliane kwa 0752925925. wani kuna shamba zuri saan wanaliuza
 
Soko la ndani la parachichi ni kubwa sana kwahiyo tulime usikatishe watu tamaa mimi ni mkulima mdogo kabisa natamani ningelima zaidi
 
Acha kuwatisha watu.
 
Pandeni yakutosha..ili baada ya muda yawe kama maembe ya tabora kipindi cha msimu.

#MaendeleoHayanaChama
Mzee tofautisha maembe na parachichi;Embe zimekosa soko la nje kutokana na shida ya Fruit flies lkn kwa parachichi sio hivyo labda aje atokee Mdudu au ugonjwa hapo baadaye ambapo itaathiri soko lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…