Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yeah hapo ndio pagumuHii kitu kinachotugharimu ni uchoyo na ubinafsi na wahindi wanatuahindia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hapo ndio pagumuHii kitu kinachotugharimu ni uchoyo na ubinafsi na wahindi wanatuahindia hapa
Inauma sana kwa kweli wapigaji wamerudi kwa speed ya 5G kweli......Pagumu kweli kweli jamaa amenyoosh bank ya wakulima kule sahizi mambo ya uwezeshaji yako poa sana!
Ukiweza link na Tadb kwenye miradi unachomoka fasta! Nasubiria mama akavuruge aweke watu wa hovyo napo ili waharibu utaratibu! Maana nchi inarudishwa kwa wapigaji kwa kasi ya 5G!
Maana nimeskia hela ya serikali tena wanataka kuirudisha CRDB kama zamani😂 wana mipango hio!
kama ipi broTuishi nao kwa plan B
Mtapigwa chenga tu hizo story za wamefungua milango ni siasa tu! Watakaoanza kupiga hela ni Bashe na washkaji zake nyie wanyonge ni mlolongo wa vibali na nenda urudi hazitoisha[emoji28]
Mie sielewi ugumu huwa ni nini? Kupeleka miswaada ya kisheria ya kupitisha vibano kama tozo na upuuzi mwengine hio huwa haicheleweshwagi yani tena inaweza ikapitishwa bila hata kujadiliwa😅 in public.Mengi nakubaliana na wewe kuhusu hivyo vibali
Lakini mimi niko [emoji636] miaka zaidi ya 30 na sijawahi kuona produce za Tz kwenye masoko makubwa ya mbogamboga na matunda
Na kila wakati naenda kununua kwa ajili ya biashara kwenye International Market lakini cha ajabu utakuta ni Jirani zetu Kenya na Uganda mboga zao zipo na matunda pia
Hawa so called Wakubwa hawana akili za Kimataifa they are so thick pamoja na kuhodhi vibali wao wanaishia kupeleka kahawa, parachichi na mboga zingine hapo Jirani tu
Ndio uwezo wao huo
Sana labda wakifunguka kidogo labda Madini
Mie sielewi ugumu huwa ni nini? Kupeleka miswaada ya kisheria ya kupitisha vibano kama tozo na upuuzi mwengine hio huwa haicheleweshwagi yani tena inaweza ikapitishwa bila hata kujadiliwa[emoji28] in public.
Linapokuja swala la kuruhusu vitu vya maendeleo ya watanzania kiuchumi kama kurasimisha malipo ya mtandaoni kama paypal, kuondosha vikwazo vya ku export produce hapo ndipo kasheshe yani vitu vya kufanywa itaanza milolongo ya ajabu ajabu! Kujadiliwa wala hutasikia wabunge wengi mbumbumbu wameingia mjengoni kwa njia za ndumba! Kelele ni za kupigana madongo na kila mmoja kumuona mwenzie hana akili!
Thinking yao ni ya miaka ya 70 huko[emoji28] wachache tu ambao wamebahatika kupata watoto walio exposed na wanaishi nao vyema ndio wanaelewa dunia inavyokwenda
Yani inatakiwa hiko kizazi cha 60’s kisafishwe kwenye Taasisi zote wabakie hawa wa kuanzia 70’s wamalizie ungwe zao!Inaumiza sana kuona haya yanatokea nyumbani
Ipo siku hao watoto labda watakuja kubadili haya mambo lakini sio kwa hawa wazee wanaopokeza uwaziri na kuwabadilisha badilisha mpaka yafe
Unakuta kuna watu wana over 70 na bado limo tu siasani halafu utakuta kasafiri nchi tatu au zero maisha yake
Sasa huyu unategemea ana exposure zipi?
Mungu saidia hawa wazee waondoke
Yani inatakiwa hiko kizazi cha 60’s kisafishwe kwenye Taasisi zote wabakie hawa wa kuanzia 70’s wamalizie ungwe zao!
Hao ndio wanatucheleweshaNaunga mkono tena hata kwa makofi wakigoma [emoji23]
Hujui unachokiongeaMkuu, wewe peke yako ndio umenielewa. Mimi ni mkulima wa hass nimepitia mengi najua ninachokiongea... Huko kwenye kukidhi vigezo vya soko la ulaya ni mbilinge kweli kweli
Soko la ndani la parachichi ni kubwa sana kwahiyo tulime usikatishe watu tamaa mimi ni mkulima mdogo kabisa natamani ningelima zaidiNilimsikiliza jamaa mwny Co. Ya Malembo farm kwny kipindi cha kina masudi kipanya pale clouds+ cha saa 2 usiku.
Akasema sa hivi kinacho trend huko mitandaoni/mashambani ni kilimo cha parachichi(HASS) anasema wakulima wanalima sana na wote ukiwauliza mtauzia wapi wanakwambia Ulaya,ukiwauliza Ulaya nchi ipi maana sio nchi zote tunafanya nao biashara hawana majibu,ukiwauliza mnajua ni standards gani hizo nchi za ulaya zinataka ili kununua hayo matunda wao hawana majibu ila wanakwambia tu cha msingi iwe ni aina ya HASS.
Yajayo yanafurahisha,Parachichi inaenda kua kama kilimo cha Tikitimaji.
Umeona eenhh??!!!.Matunzo ni ya kawaida kama mazao mengine tuu. Changamoto zipo ila siyo za kutisha kwamba huwezi kuzimudu.
Acha kuwatisha watu.Nilimsikiliza jamaa mwny Co. Ya Malembo farm kwny kipindi cha kina masudi kipanya pale clouds+ cha saa 2 usiku.
Akasema sa hivi kinacho trend huko mitandaoni/mashambani ni kilimo cha parachichi(HASS) anasema wakulima wanalima sana na wote ukiwauliza mtauzia wapi wanakwambia Ulaya,ukiwauliza Ulaya nchi ipi maana sio nchi zote tunafanya nao biashara hawana majibu,ukiwauliza mnajua ni standards gani hizo nchi za ulaya zinataka ili kununua hayo matunda wao hawana majibu ila wanakwambia tu cha msingi iwe ni aina ya HASS.
Yajayo yanafurahisha,Parachichi inaenda kua kama kilimo cha Tikitimaji.
Mzee tofautisha maembe na parachichi;Embe zimekosa soko la nje kutokana na shida ya Fruit flies lkn kwa parachichi sio hivyo labda aje atokee Mdudu au ugonjwa hapo baadaye ambapo itaathiri soko lake.Pandeni yakutosha..ili baada ya muda yawe kama maembe ya tabora kipindi cha msimu.
#MaendeleoHayanaChama