Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Mbona naziona na kwanini zisiruhusiweMkiwa nje mnaota ndoto za mchana kwa kutheorize fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika. Kwa taarifa yako chainsaw hairuhusiwi hapa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona naziona na kwanini zisiruhusiweMkiwa nje mnaota ndoto za mchana kwa kutheorize fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika. Kwa taarifa yako chainsaw hairuhusiwi hapa Tanzania
Wewe ndio unayajua haya mambo in practice, naona wengine huku wanaleta theories walizosoma madarasani.Bilashaka hapa unawalenga watu walio na mtaji mkubwa.
Inategemea unalima zao lipi pia.
Mfano...
Ili ulime hekari 20 za mahindi, kwa uchache andaa 8M au 10M kulingana na eneo.
Maharage hekari 20 andaa 10M au zaidi kulingana na eneo.
Na hapo si kilimo cha umwagiliaji, unategemea mvua au ni unalima mabondeni ambapo kuna unyevunyevu mwingi but ni ngumu kupata eneo la kutosha.
Ila kama hauna majukumu (yaani, ni wewe tu na hakuna mtu yeyote ambaye ana kutegemea), kama unaweza anza kidogo kidogo hata na 1,2,3.......nk huku ukiwa na lengo la kuongeza kila msimu unapofika.
Usisahau hasara na wala usiogope hasara ila jitahidi kufuata taratibu za kilimo ili upunguze uwezekano wa kupata hasara.
Msipende kujikweza, nimewazungumzia wadogo ambao ndio wapo wengi, hiyo 20 mil. wengi wenu bila mikopo hamna, ni ndoto mnaota, kila mtu ana namna yake ya kutoka, msiwakaririshe watu wajione wana mzigo mzito mbele yao wakate tamaa kabla hata ya kuanza, na wengi humu mitandaoni hata hamlimi, huwa mnachati tu kuhusu kilimo kwenye smartphone zenu.Mbona ameeleweka vizuri? Wewe anza na hata robo ekari,lakini utafanikiwa miaka kumi ijayo tofauti na aliyeanza kwa style aiyosema.
unataka kulima Nini boss ...Mm mwenyewe nataka kulima. Natafuta pori la ekari 50+ nimiliki kihalali niingie mzigoni soko langu wakazi wa Dar na Dodoma
TarzanMm mwenyewe nataka kulima. Natafuta pori la ekari 50+ nimiliki kihalali niingie mzigoni soko langu wakazi wa Dar na Dodoma nataka nilime nifuge Ng'ombe,Mbuzi,Kondoo,Nguruwe na Samaki
Tanzania ipi ya huko kwenu?Mkiwa nje mnaota ndoto za mchana kwa kutheorize fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika. Kwa taarifa yako chainsaw hairuhusiwi hapa Tanzania
Mahindi, Maharage, nyanya carot vitunguu na mboga mboga masoko ni Dar es Salaam na Dodoma.unataka kulima Nini boss ...
Unajua unataka kulima Nini?
Changamoto zake?
Masoko?
Nk
Kwanini haziruhusiwi? Mbona huku nilipo naziona.Mkiwa nje mnaota ndoto za mchana kwa kutheorize fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika. Kwa taarifa yako chainsaw hairuhusiwi hapa Tanzania
Ok sawa mkuu nakutakia Kila la heri. Utatoa ajira kwa vijana pia.Mahindi, Maharage, nyanya carot vitunguu na mboga mboga masoko ni Dar es Salaam na Dodoma
Nitaangalia uwezekano wa kuchimba kisimaOk sawa mkuu ...nakutakia Kila la heri ...
Utatoa ajira kwa vijana pia.
Upatikanaji wa maji eneo unalotaka kuwekeza upoje?
Au utalima kwa msimu (kutegemea mvua?
Ndiyo maana yake, watu 25 kila mwaka wakilima kwa kiwango hiki watazalisha ajira kuanzia shambani mpaka kwa mchuuzi mpaka chakula kunamfikia mlaji.Bilashaka hapa unawalenga watu walio na mtaji mkubwa.
Inategemea unalima zao lipi pia.
Mfano...
Ili ulime hekari 20 za mahindi, kwa uchache andaa 8M au 10M kulingana na eneo.
Maharage hekari 20 andaa 10M au zaidi kulingana na eneo.
Na hapo si kilimo cha umwagiliaji, unategemea mvua au ni unalima mabondeni ambapo kuna unyevunyevu mwingi but ni ngumu kupata eneo la kutosha.
Ila kama hauna majukumu (yaani, ni wewe tu na hakuna mtu yeyote ambaye ana kutegemea), kama unaweza anza kidogo kidogo hata na 1,2,3.......nk huku ukiwa na lengo la kuongeza kila msimu unapofika.
Usisahau hasara na wala usiogope hasara ila jitahidi kufuata taratibu za kilimo ili upunguze uwezekano wa kupata hasara.
Kilimo cha hekari moja siyo kilimo cha kibiashara.
Najua utakuja na mifano ya WhatsApp groups, please don't. Tanzania kuna wakulima wengi mno na h
Ukiona wewe ni mdogo amua moja kati ya haya: acha ufanye mengine au unganisha nguvu na wenzako.Msipende kujikweza, nimewazungumzia wadogo ambao ndio wapo wengi, hiyo 20 mil. wengi wenu bila mikopo hamna, ni ndoto mnaota, kila mtu ana namna yake ya kutoka, msiwakaririshe watu wajione wana mzigo mzito mbele yao wakate tamaa kabla hata ya kuanza, na wengi humu mitandaoni hata hamlimi, huwa mnachati tu kuhusu kilimo kwenye smartphone zenu.
Hapana sio ki hivyo.Kilimo kinahitaji uwekezeji mkubwa, nikiangalia wale settlers wa Zimbabwean na South Africa waliweka pesa nyingi kwenye kilimo na wanazalisha vyakula kwa wingi. Wakati wa British East Africa, wazungu waliopenda kulima walipewa ardhi lakini kwa masharti ya kuonyesha bank statement inayoonyesha una pesa ya kutosha kuendeleza ardhi.
Anza na heka 20 tu lakini uwe na nyumba bora ya kuishi, ghala la chakula, ukiwa kwenye remote area ambako ndiko kwenye ardhi ya kutosha ni muhimu uwe na wafanyakazi wawili wa kukusaidia. Hawa wanajitaji nyumba zao, licha ya kuwa na uhakika nao kila siku, pia watasaidia ulinzi.
Kwa ufupi tu, uwe na tractor, wheel barrow moja au zaidi, majembe, mapanga, nyundo, shoka, tree chainsaw kwa kukatia miti, usafiri hata Rav4 old model inatosha.
Tunaposema vijana wajiajiri ardhi tunayo, tuyafikirie haya pia.
View attachment 1704212
View attachment 1704214
View attachment 1704217
Afadhali wewe umeuliza ili upate ufahamu. Si hao mahoka wanahemka tu. Kwanza kuna vi chain saw vidogo vya kukata kama matawi au miti havikatazwi. Chain saw zinazokatazwa ni za kuchana mbao.Mbona naziona na kwanini zisiruhusiwe
Jibu lipo #39 chiniKwanini haziruhusiwi? Mbona huku nilipo naziona