Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
hahahhaa. sawasawa mkuu!Mkuu sitaki ugomvi na serikali. Nalima matikiti na bamia.
Kulima mahindi, kahawa, chai, pamba na nafaka ni kutafuta ugonjwa tuu.
Kila la kheri boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhaa. sawasawa mkuu!Mkuu sitaki ugomvi na serikali. Nalima matikiti na bamia.
Kulima mahindi, kahawa, chai, pamba na nafaka ni kutafuta ugonjwa tuu.
Kitakuwaje?
Si uelezee tuone mchanganuo wako kuliko kuongea maneno yasiyo na namba hata moja.
Nielezee hekari moja ya zao fulani, nitawekeza kiasi fulani na nitaingiza kiasi fulani katika kipindi cha mwaka mmoja.
C'mon lets go ....
Bado sana ndugu yangu.Nikielezea namba nitaambiwa ni kilimo cha PDF au Whatsapp. Ni sawa maana namba haziwezi kuwa static kutokana na factors mbalimbali mfano hali ya hewa, masoko, soil type, irrigation etc ila we chukua mfano mkulima anayelima kilimo cha umwagiliaji kwa mazao ya mbogamboga ambayo kupanda hadi kuvuna hayazidi miezi minne ( atalima mara tatu kwa mwaka + kilimo cha umwagiliaji + hekari moja + mazao mbalimbali ya mbogamboga).
Bado sana ndugu yangu.
Hamna haja ya kubishana, ungeona watu wanavyounguza hela, ni wengi mno na mifano ni mingi.
Works better as a supplemental income.
Hakuna mwenye ekari moja anayetusua.What works for you, won’t work on my side and vice versa. Kwahiyo hao wanaotoboa kwenye kilimo wanafanyaje? Inaweza kuwa kweli wanaounguza hela ni wengi kuliko wanaotusua, ila hao wanaotusua wanafanyaje? Nadhani ukipata jibu tutakuwa tumefunga mjadala.
Anything, mention it. Matunda, mahindi, migomba, ufuta, mahindi...nk. Ni pori bado sijaweza kusafisha ila ni eneo potential sana na mto uko in less than 2kmNi kitu gani kinastawi hapo vizuri
Ok na barabara ikoje......gari zinapitika mpaka shambaAnything, mention it. Matunda, mahindi, migomba, ufuta, mahindi...nk. Ni pori bado sijaweza kusafisha ila ni eneo potential sana na mto uko in less than 2km
Afadhali wewe umeuliza ili upate ufahamu. Si hao mahoka wanahemka tu. Kwanza kuna vi chain saw vidogo vya kukata kama matawi au miti havikatazwi. Chain saw zinazokatazwa ni za kuchana mbao.
Chain saw hairuhusiwi kwa sababu inaharibu mbao. Mti ambao ukitumia msumeno wa kawaida unatoa mbao 10, ukitumia chain saw utapata mbao 7 au pungufu hivyo ni hasara kwa mkulima wa miti ya mbao. Ndiyo maana inakatazwa ili kumlinda mkulima