Kilimo na biashara ya mkonge/ katani Tanzania

Green49

Member
Joined
Apr 16, 2024
Posts
10
Reaction score
7
Habari wanajamii forum ,mimi ni mdau wa muda mrefu sana ndani ya forum hii lakini nikiwa kama msomaji tu, kupitia forum hii nimejifunza mambo mengi, nimecheka na kufurahi, pamoja na kuelimika kwenye baadhi ya mambo ambayo sikuwa nayaelewa vizuri hapo mwanzo.

Lengo kuu la kuleta huu uzi kwenu ni kutoa elimu na maarifa sahihi kuhusu kilimo na biashara ya mkonge/katani hapa tanzania kwa maana mimi ni mfanyabiashara mdogo wa kati wa mkonge, hivyo basi kwa uzoefu na maarifa yangu kuhusu zao hili nimeamua kuandaa hii taarifa ili kuleta uelewa mzuri zaidi.

Nimeanda hii doc (pdf) ikiwa inaelezea na kufafanua kwa uzuri nini maana ya mkonge, kilimo cha mkonge kiujumla na jinsi pesa inavyopatikana kwa ngazi zote ndani ya biashara ya mkonge, ndani ya maelezo hayo pia nimeambatanisha na picha mbalimbali ili kuleta uelewa mzuri wa nini halisi kinaelezwa.

Kwa yeyote aliye na uzoefu na taarifa za ziada kuhusu mkonge anaweza kuongezea, kushauri, kukosoa na pia kuleta ushuhuda unahusiana na mkonge, lengo kuu likiwa ni kujenga uelewa nzuri zaidi wa kilimo na biashara ya mkonge kwa watanzania.

Asante [emoji120]

Note:
A) Kama kuna tatizo lolote la kiuandishi ndani ya doc basi tuvumiliane na tusameheana kwenye hilo.

B) Nimetumia ID mpya kwa sababu zangu binafsi (naomba tujikite kwenye lengo la uzi).

View attachment MKONGE TANZANIA BY TIBE 1.pdf
 
Nilijua mkonge ni Kwa ajili ya makampuni makubwa tu..ngoja nisome pdf
 
View attachment 2965517
Naweza pata mawasiliano yako mkuu
 
Ahsante kwa taarifa hizi!
 
Asante sana nimesoma ile PDF. Je kwa maoni yako Mimi mtanzania wa kawaida mwenye uwezo wa kupata Milioni 5 hivi... Unashauri niwe mkulima ama mnunuzi?
 
Asante sana, kwa kununua brush(fiber) mtaji bado uko chini kidogo ndugu na kwa upande wa kulima mkonge inawezekana kwa mtaji huo ,ikikupendeza pia unaweza kufika site ili kupata maarifa ,kujionea fursa nyinginezo kwenye mkonge na pia kujifunza zaidi kwa vitendo .......karibu sana.
 
Asante sana, kwa kununua brush(fiber) mtaji bado uko chini kidogo ndugu na kwa upande wa kulima mkonge inawezekana kwa mtaji huo ,ikikupendeza pia unaweza kufika site ili kupata maarifa ,kujionea fursa nyinginezo kwenye mkonge na pia kujifunza zaidi kwa vitendo .......karibu sana.
Habari wanajamii forum ,mimi ni mdau wa muda mrefu sana ndani ya forum hii lakini nikiwa kama msomaji tu, kupitia forum hii nimejifunza mambo mengi, nimecheka na kufurahi, pamoja na kuelimika kwenye baadhi ya mambo ambayo sikuwa nayaelewa vizuri hapo mwanzo.

Lengo kuu la kuleta huu uzi kwenu ni kutoa elimu na maarifa sahihi kuhusu kilimo na biashara ya mkonge/katani hapa tanzania kwa maana mimi ni mfanyabiashara mdogo wa kati wa mkonge, hivyo basi kwa uzoefu na maarifa yangu kuhusu zao hili nimeamua kuandaa hii taarifa ili kuleta uelewa mzuri zaidi.

Nimeanda hii doc (pdf) ikiwa inaelezea na kufafanua kwa uzuri nini maana ya mkonge, kilimo cha mkonge kiujumla na jinsi pesa inavyopatikana kwa ngazi zote ndani ya biashara ya mkonge, ndani ya maelezo hayo pia nimeambatanisha na picha mbalimbali ili kuleta uelewa mzuri wa nini halisi kinaelezwa.

Kwa yeyote aliye na uzoefu na taarifa za ziada kuhusu mkonge anaweza kuongezea, kushauri, kukosoa na pia kuleta ushuhuda unahusiana na mkonge, lengo kuu likiwa ni kujenga uelewa nzuri zaidi wa kilimo na biashara ya mkonge kwa watanzania.

Asante [emoji120]

Note:
A) Kama kuna tatizo lolote la kiuandishi ndani ya doc basi tuvumiliane na tusameheana kwenye hilo.

B) Nimetumia ID mpya kwa sababu zangu binafsi (naomba tujikite kwenye lengo la uzi).

View attachment 2965517
Shukran mdau, nilipata hasira baada ya kusoma andiko lako, nimefanya uchunguzi na nime enda kununua hekari 100 na napanda mkonge, mbegu naotesha mwenyewe,kuna jamaa nimempata anani saidia,pia Nakaribia kununua mashine ya korona ndogo,nipigie kazi huku miche yangu ina ota, baada ya miaka 3,(2027) Nita Rudisha jibu...
 
Nimeipata kitu kikubwa Sana. Naomba kufahamu wanunuzi wa mkonge uliokomaa hapa Morogoro
 
Unalimia wapi?
 
Nimeipata kitu kikubwa Sana. Naomba kufahamu wanunuzi wa mkonge uliokomaa hapa Morogoro
Kama uko karibu na estate kubwa ya kuchakata mkonge unaweza uza hapo, ama kwa wamiliki wa mashine ndogo ambao wapo karibu yako pia wote wananunua mkonge .......morogoro uko sehemu gani ?
 
Shukran mdau, nilipata hasira baada ya kusoma andiko lako, nimefanya uchunguzi na nime enda kununua hekari 100 na napanda mkonge, mbegu naotesha mwenyewe,kuna jamaa nimempata anani saidia,pia Nakaribia kununua mashine ya korona ndogo,nipigie kazi huku miche yangu ina ota, baada ya miaka 3,(2027) Nita Rudisha jibu...
Ulipata hasara kwenye angle gani ndugu
 
Nimekisoma kitabu chako mwanzo hadi mwisho, nikupe hongera kwa kutushurikisha fursa.
 
Habari wanajamii forum ,mimi ni mdau wa muda mrefu sana ndani ya forum hii lakini nikiwa kama msomaji tu, kupitia forum hii nimejifunza mambo mengi, nimecheka na kufurahi, pamoja na kuelimika kwenye baadhi ya mambo ambayo sikuwa nayaelewa vizuri hapo mwanzo.

Lengo kuu la kuleta huu uzi kwenu ni kutoa elimu na maarifa sahihi kuhusu kilimo na biashara ya mkonge/katani hapa tanzania kwa maana mimi ni mfanyabiashara mdogo wa kati wa mkonge, hivyo basi kwa uzoefu na maarifa yangu kuhusu zao hili nimeamua kuandaa hii taarifa ili kuleta uelewa mzuri zaidi.

Nimeanda hii doc (pdf) ikiwa inaelezea na kufafanua kwa uzuri nini maana ya mkonge, kilimo cha mkonge kiujumla na jinsi pesa inavyopatikana kwa ngazi zote ndani ya biashara ya mkonge, ndani ya maelezo hayo pia nimeambatanisha na picha mbalimbali ili kuleta uelewa mzuri wa nini halisi kinaelezwa.

Kwa yeyote aliye na uzoefu na taarifa za ziada kuhusu mkonge anaweza kuongezea, kushauri, kukosoa na pia kuleta ushuhuda unahusiana na mkonge, lengo kuu likiwa ni kujenga uelewa nzuri zaidi wa kilimo na biashara ya mkonge kwa watanzania.

Asante [emoji120]

Note:
A) Kama kuna tatizo lolote la kiuandishi ndani ya doc basi tuvumiliane na tusameheana kwenye hilo.

B) Nimetumia ID mpya kwa sababu zangu binafsi (naomba tujikite kwenye lengo la uzi).

View attachment 2965517
Unalimia wapi ndugu?
 
Back
Top Bottom