Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Hizo mbegu zinapatikana Tanzania kwa wingi. Je mahindi yake yanakomaaa kwa mda wa siku ngapi?
Mkuu ulipata gunia ngapi na uliuza sh ngapi kwa gunia au debe manaake hesabu ya mil 3 kwa heka mbili naona kama ume kadiria kwa kadirio la juuu.




Ahsante mkuu.
 
Mkuu ulipata gunia ngapi na uliuza sh ngapi kwa gunia au debe manaake hesabu ya mil 3 kwa heka mbili naona kama ume kadiria kwa kadirio la juuu.




Ahsante mkuu.
Gunia 37 niliuza 35@95,000/=.
 
N
Ndugu mbona
Mimi nililima ekari mbili nikapata gunia kumi Na tatu Na nilitumia mbegu za sidiko Sasa je wapi nilikosea mkuu lakini kutokana Na Bei ya mahindi kuwa juu Bado nilitusua
Hiyo mbegu uliyoisema inapatikana wapi ? msaada please
 
Ndugu zanguni tuache maneno Kama una kipesa kidogo kiingize kwenye kilimo mafanikio yapo hata mi nishayaona pia
 
Gunia 37 niliuza 35@95,000/=.
Wakuu twendeni shamba. Ila msaada wa upatikanaji wa mbegu hiyo Mkuu. Pia interval kati ya shina na shina na jee shina moja ulitupia mbegu ngapi. Mm Niko Morogoro kilombero mahindi mara2 kwa mwaka. Kwahiyo najipanga nikitoa mpunga nitupie hiyo mbegu.

Msaada mkuu.
 
N

Ndugu mbona

Mimi nililima ekari mbili nikapata gunia kumi Na tatu Na nilitumia mbegu za sidiko Sasa je wapi nilikosea mkuu lakini kutokana Na Bei ya mahindi kuwa juu Bado nilitusua
Hiyo mbegu uliyoisema inapatikana wapi ? msaada please
Hii mbegu ni ya Kenya.
 
Kwa jinsi nilivyokusoma mkuu, wewe utakua una mawazo ya kivivu sana, yaani sio mtu wa kutenda Bali mtu wa visingizio vingi, au yawezekana wewe ni mkulima mzuri kabisa ila hutaki vijana waingie huko kwa wingi maana faida yake umeiona unataka ufaidike mwenyewe, kwa hiyo unaamua kuwakatisha tamaa vijana. Lengo lako sio kujifunza Kuna kitu unakijua ila hutaki kukisema
 
Kitu chenye pesa na mafanikio hakifanywi na kila mtu mkuu! Ingekua hivyo kila mtu angekua tajiri
 
Na

Kwa Tanzania nitaipata wapi please
Mbona majibu hayatoki kuwa mbegu hii kwa tz inapatikana au laa. Naelekea kuamini kuwa hizi ni porojo za social media. Pia nimeuliza interval ya shina na shina pamoja na mbegu ngapi kwa kila shina majibu bado sijui mtoa Uzi anagoogle.


Please be open kwa msaada .
 
Ni kweli kilimo kinalipa sana, naandaa mtaji wa milion 3 nataka nizipeleke shambani, kwa sasa naanda business plan lakini kazi yangu serikalini siachii...kilimo kitakuwa ni nyongeza tu basi
 
Ngumu sana kujua kama inapatikana Tanzania maana mimi nikiitaka nainunua Kenya, labda wewe uzunguke kuitafuta.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote mkuu.naweza pata your contact?
 
Mnapouliza maswali jaribuni kuwa waungwana, porojo za social media zinatoka wapi? Kuna ajabu gani hapo? Mbona hayo mavuno ni ya kawaida kwanza nipo chini ya malengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…