Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Mwaka Jana nimelima heka moja ya vitunguu na jumla gharama nilitumia 1,700,000/= nikafanikiwa kupata gunia 72 ambayo kila gunia niliuza kwa 90,000/= sawa na tsh 6,480,000/= ukitoa gharama zangu unapata baki ya tsh 4,780,000/= Nilipotoa gharama zangu zote nyingine kama usafiri na chakula nilipokuwa shamba nikabakiwa na 4,300,000/= Nilitumia miezi minne mpaka kuvuna na approximation ni kama kila mwez niliingiza 1 million. Ni kiasi kidogo na ni kikubwa pia.
Tujifunze kuwekeza shambani
 
Sawa mkuu lakini mimi hapo nimepata hasara ya 75% kwa kujiingiza kwenye shughuli ya kilimo
 


Nitafurahi kuona haswa wafata mikumbo wasio na mbele wala nyuma wanasoma uzi wako, ila najua huwa awafungui sababu ya uvivu na tamaa wanaishia kupiga porojo tu.
 

Mmmmmmmmh
Duh

Inasikitisha kwa jnsi ulivyoiandika, bora ungeulia au kuandika kivyako.
 
Safi sana mkuu, vijana wamejikalia mjini wakati mali ipo shambani.
 
Zaman kilimo kilifanyika shamban, lakin siku hizi ni limia dole......wee nenda kichwa kichwa na mkopo wako au mtaji wako shamban bila kujua nn unaenda kulima na soko lake likoje, nakumbuka hadithi za tikiti maji kila sehemu ilikuwa tikiti maji tikiti maji..........watu wakalima kwa wingi adi kusababisha mafuriko ya matikiti maji kwenye masoko. .............
 
Kuna city of vingi vimefichika kwenye Kilimo:-Ni wangapi wameshapiga hesabu sahihi ya gharama halisi za Kilimo kwenye mizania?
Piga hesabu ya muda wa Usimamizi,kama unakwenda shamba na gari lihesabie mafuta,wear and tear,Inputs zote zihesabu,Alafu njoo na hesabu upya.Kuna watu wengi,hasa walioajiriwa,Wanapiga hasara,kwa kuwa gharama nyingi zimefichika.Laiti kama wangehesabu vizuri,wakakokotoa actual cost dhidi ya output,ingekuwa kilio.Naongea haya Kamati mtu aliyezaliwa na kukua katika nyumba ya Mkulima (peasant);nikasoma mchepuo wa Kilimo,nikafanya Biashara tofauti,hakuna kitu kama 100% profit.
 
Muwe mnawaambia watu ukweli...ukisema kinalipa asilimia 100% wewe unakuwa sio mkweli, kilimo kinaweza kukulipa na kukufilisi vilevile...huamini waulize wakulima wa nyanya na kitunguu maji kilichowapata shambani mwaka jana
 
Muwe mnawaambia watu ukweli...ukisema kinalipa asilimia 100% wewe unakuwa sio mkweli, kilimo kinaweza kukulipa na kukufilisi vilevile...huamini waulize wakulima wa nyanya na kitunguu maji kilichowapata shambani mwaka jana
Muwe mnawaambia watu ukweli...ukisema kinalipa asilimia 100% wewe unakuwa sio mkweli, kilimo kinaweza kukulipa na kukufilisi vilevile...huamini waulize wakulima wa nyanya na kitunguu maji kilichowapata shambani mwaka jana
Kwenye maisha ya utafutaji hutakiwi kuwa muoga, unatakiwa kuwa risk taker, hayo mnayoyasema hata kwenye biashara yapo.
 
Kilimo bora ni cha umwagiliaji ila tatzo mtaji ndo unakuwa mkubwa hasa kwa wale ambaol hawana ajira
 
Kwenye maisha ya utafutaji hutakiwi kuwa muoga, unatakiwa kuwa risk taker, hayo mnayoyasema hata kwenye biashara yapo.
Sasa unapomwambia mtu kilimo kina 100% ya mafanikio ndo uongo kama unakubali kuna risk, kilimo sio rahisi hivyo, watu wafubdishwe ugumu wa kilimo ili wajue nmna ya kukabiliana na
 
Mwanafunzi wa chuo anaweza kujipanga mwenyewe kabisa, ila ubaya ni kwamba watu wengi hatuna kitu kinacho itwa "saving culture" tunategemea mwisho wa siku tutapewa au tutaomba kila kitu.

Tuchukulie mfano wa kijana aliyejitambua na mwenye malengo thabiti kabisa. Anapo anza mwaka wa kwanza akaweza kuhifadhi 50,000 kwenye pesa yake ya kujikimu kila mwezi ndani ya miezi minne kijana huyo atakuwa na 200,000 na akiendelea kufanya hivyo kwa miaka mitatu atakuwa na 600,000 kama pesa hii itakuwa alikuwa akiiweka fixed account kwa bank kama Azania wana account unayo weza kuongeza pesa kila mwezi ila ina act kama fixed account.

Pesa hii baada ya miaka mitatu itakuwa mtaji wa kutosha kabisa kwa kijana kuanza maisha na sio lazima kijana huyo aweke 50,000 ila anaweza weka kiwango chochote anacho ona hakita haribu matumizi yake ya kila siku.

Ila kwasababu hatuna desturi ya kuthamini vidogo tulivyo navyo inatusumbua sana baadae tunaanza kulalamika ajira hakuna, mitaji hakuna, serikali hithamini vijana.

Cha msingi hapa ni vijana tuelewe kwamba kabla ya kunyoosha vidole kwa watu wengine na kusema hatujasaidiwa, sisi tumechukua hatua gani ya kujisaidia.??
 
Na vibarua umesahau mkuu
 

Naamin unaelimu ya kutosha katika ujasilia mali unaotokana na saving na ndio iman ya wachum
Saving= investment
Nimekusoma mchumi sana
Wengine wanachangia kwa kutoa maneno ya iman za babu zao bila kiwa na logic
Baada ya kupinga kwa hoja na kufanya tupate elimu zaid kwa majadiliano wao wanaleta maneno ya kwenye kanga.
 
ABSOLUTELY
 
Plz vjana tuache maneno...tuingie Shamba tukalime...umesahau usemi usemao Kama unataka Mali utazipata shambani...anza in kidogo kikubwa utapata baadae....tuthubutu
 
Acha umama wewe. Huyu amefanya na akapata matunda haongelei theory kujifanya wachambuz ndo kunatuponza kama taifa. Shwaini
 
Complications mnazoweka kwenye kikimo zimewageuza waoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…