Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Kuambia wakalime ni kebehi? Huko kuchimba madini watatumia meno, na biashara watafanya bila kuwa na mitaji inayoeleweka au hujui kuwa hata kilimo ni biashara, tatizo lenu mnaona kilimo ni kazi duni hamjui kuwa enzi zinabadilika.
 
Hayo sio mafanikio, hata mimi nilijaribu tu nikapata mafanikio hayo.
 
Hayo sio mafanikio, hata mimi nilijaribu tu nikapata mafanikio hayo nikaamua kushare hapa.
 
Kikubwa huduma na kufahamu unafanya nini ,unatoka ila kuotea otea hufiki sehemu

Na hapo ndipo watu wanafika wanachemka.
Wanafanya kilimo kwa kuiga, wakisikia mtu fulani amelima nyanya akatoka, basi kila mtu anakumbilia kulima nyanya.
 
Umeongea kwa hasira sana, lakini wakulima tumekupeni ushauri mjini. Rudini vijijini mkalime mtafute mtaji.
 
Nashindwa kuelewa kwanini unabisha juu ya hii mada wakati maelezo yako yanaonesha wazi kuwa ulikurupuka kulima tikiti. hukujua ni mda gani ulime na soko lake liko vipi.

Acheni kulima kwa kufuata mkumbo.
 
Nenda tu ukalime mkuu na Mungu akurehemu katika mikakati yako!!
 
Korosho.... Bora ulime choroko na mbaazi mkuu.
Mkuu kwasababu korosho inapandwa kwa distance kidogo, nadhani hata choroko naweza kulima wakati korosho inaendelea kukua...
Nimepata miche ya kisasa inayozaa ndani ya miaka mitatu..
 
Mkuu kwasababu korosho inapandwa kwa distance kidogo, nadhani hata choroko naweza kulima wakati korosho inaendelea kukua...
Nimepata miche ya kisasa inayozaa ndani ya miaka mitatu..
Mkuu korosho si rafiki kwa mixed farming... Kwani mti wake hata majani ni asili ya mafuta ambayo yanapoteza rutuba na kuua mimea. So may be kama una ekar tatu gawa nusu panda mbaaz na choroko. then korosho ipige yenyewe.
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu, eneo lipo itabidi nifanye hivyo..
 
Wat u say s ver true mm nmemaliza chuo mwaka juz mwaka jana may nikabahatika kupata ajira mbeya serikalin lkn baada ya muda tulisimamishwa kupisha ukaguz wa wafanyakazi hewa na sasa ni mwaka unaenda hatujarudishwa kazin lkn kule mm nilikutana na fursa ya kilimo cha vitunguu huwez amin nilichangamkia fursa sasa hiv ninavyoongea nakaribia kuvuna na nahisi kilimo ndo kazi yang sitaaka tena ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…