Acha kudanganya kwa kuota ndoto za alinacha. Kilimo cha jembe la mkono hakiwezi kumfikisha mtu pahala popote.Inawezekana kulimia trekta ni mipango tu. kama wenye mamlaka watawala wakiweka utaratibu mzuri wa kupata mikopo ya matrekta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudanganya kwa kuota ndoto za alinacha. Kilimo cha jembe la mkono hakiwezi kumfikisha mtu pahala popote.Inawezekana kulimia trekta ni mipango tu. kama wenye mamlaka watawala wakiweka utaratibu mzuri wa kupata mikopo ya matrekta.
Wazazi walikuwa ndiyo wakulima au walisimamia kilimo!Uko sahihi sana,nakumbuka nikiwa mdogo wazazi walikuwa wanatuchukuwa tunakwenda shamba,kunapikwa chakula kule,kunachemshwa mahindi ,tunachoma mihogo n.k,ni nyakati ambazo zilikuwa zinatuvutia sana,na tukiskia kuna kwenda shamba lazima tuhakikishe na sisi hatukosi,ila nimechelewa kidogo kulipenda shamba mpaka umri huu mkubwa ndio nimekuwa na kiu ya ajabu ya kupenda kuwa mkulima...
Ukilima mahindi kibiashara na useme kilimo ni njia ya kuishi unatakiwa kuwa na eka zisizopungua 200, sasa una acre 30 unawaza kupeleka congo. Seriously [emoji15]Hili ni jambo zuri kama watawala wangemjali mkulima.
Kuna bosi wangu alilima ekari 30 za mahindi, akavuna bei ikawa kama 200 kwa kilo, gunia la kilo 90 unauza 18000! Kisa wamefunga mipaka nk. Alikata tamaa kabisa. Hata taasisi ya fedha haiwezi kopesha kwenye mazingira tatanishi hivyo. Na nchi haitakoma upungufu wa chakula sababu watu wa kulima ekari 30+ hawakubali kuzika pesa.
Jambo la kumkomboa mkulima na kufanya tufurahie kulima ni kuacha soko huru. Mi nikauze mahindi Congo gunia 70K , hapo ndiyo kilimo kitakuwa na mkulima atakomboka. Hata nikienda benki nikiwapa mchanganuo wanaelewa.
Ni kweli ardhini kuna utajiri na kilimo ni noble professional lakini watawala wetu ndiyo wanatukwamisha.
Ukiwa na heka 200 ni lazima uwe na wafanyakazi kama 50, kati ya hao 20 wawe na ajira za kudumu na 30 vibarua.Ukilima mahindi kibiashara na useme kilimo ni njia ya kuishi unatakiwa kuwa na eka zisizopungua 200, sasa una acre 30 unawaza kupeleka congo. Seriously [emoji15]
Kama kuna soko zuri, ekari 30 zinaweza kukupa pato kwa mwaka kama tu pato la afisa wa ngazi ya kati serikalini. Halafu hiyo kupeleka Congo ni mfano, haihusiani na ekari 30.Ukilima mahindi kibiashara na useme kilimo ni njia ya kuishi unatakiwa kuwa na eka zisizopungua 200, sasa una acre 30 unawaza kupeleka congo. Seriously [emoji15]
Kupeleka Congo kunahitajka uwe na Tani ngapi?Ukilima mahindi kibiashara na useme kilimo ni njia ya kuishi unatakiwa kuwa na eka zisizopungua 200, sasa una acre 30 unawaza kupeleka congo. Seriously [emoji15]
Miaka nenda rudi bei ya gunia la mpunga ni 35-40 huku kila kitu kimepanda, mahindi huwezi jua msimu utakuwaje ni pasua kichwani, ufuta umeliza watu mwaka jana, maharage ya njano nadhani yamesimama kwa miaka kadhaa saaa..Kwahyo wanaolima nn ndo hawana matatizo kichwani mkuu?hongera kuishi shambani...shambani ishi ukiwa financially well...sio hata solar ushindww kuwa nayo
Semi kawaida linaabeba tani 22 sawa na gunia 220.Kupeleka Congo kunahitajka uwe na Tani ngapi?
Heka 30 unatoa Tani ngapi?
Tunapoizungumzia commercial farming tunamaana uweze kumudu na kuendesha maisha yako 100% kwa kutegemea kilimo hicho tu. Aina ya maisha haya ni kuwa na nyumba nzuri, kula vizuri kuku kuku nini kawaida, familia ivae vizuri, usafiri binafsi mzuri wewe na familia, watoto wasome shule nzuri za private, uwe na saving ya kutosha bank yaani milioni kadhaa kila mwaka hata ukifa account inasoma mamia ya milioniKama kuna soko zuri, ekari 30 zinaweza kukupa pato kwa mwaka kama tu pato la afisa wa ngazi ya kati serikalini. Halafu hiyo kupeleka Congo ni mfano, haihusiani na ekari 30.
aisee umenipa changamoto nzuri kuhusu kilimoSemi kawaida linaabeba tani 22 sawa na gunia 220.
Wakulima local wanapata gunia 4 mpaka 7 kwa ekari. Order nyingi za nje wanaanzia semi 10 na kuendelea
Mm ni mkulima wa mahindi wa kawaida Sana nalima Kati ya hekari 10-15 kila mwaka kwa zaidi ya miaka 7 Sasa.Kila hekari natoa roba 15 zenye wastani wa kilo 120 sijawahi kupata chini ya hapoSemi kawaida linaabeba tani 22 sawa na gunia 220.
Wakulima local wanapata gunia 4 mpaka 7 kwa ekari. Order nyingi za nje wanaanzia semi 10 na kuendelea
Umeweka Fact zote hii nchi inashangaza sanaHili ni jambo zuri kama watawala wangemjali mkulima.
Kuna bosi wangu alilima ekari 30 za mahindi, akavuna bei ikawa kama 200 kwa kilo, gunia la kilo 90 unauza 18000! Kisa wamefunga mipaka nk. Alikata tamaa kabisa. Hata taasisi ya fedha haiwezi kopesha kwenye mazingira tatanishi hivyo. Na nchi haitakoma upungufu wa chakula sababu watu wa kulima ekari 30+ hawakubali kuzika pesa.
Jambo la kumkomboa mkulima na kufanya tufurahie kulima ni kuacha soko huru. Mi nikauze mahindi Congo gunia 70K , hapo ndiyo kilimo kitakuwa na mkulima atakomboka. Hata nikienda benki nikiwapa mchanganuo wanaelewa.
Ni kweli ardhini kuna utajiri na kilimo ni noble professional lakini watawala wetu ndiyo wanatukwamisha.
Na yeye ni mshamba tuu kama alivyo taka kutuaminisha juu ya mleta madaaHivi kilichokufanya ukatukana kwenye uzi kama huu ni nini? Kwanini unakosa ustaarabu lakini?
Tena kubwa sanaa.kilimo kina hitaji maandalizi makubwa, mtaji,wataalamu na miundo mbinu sahiii.Uko sahihi kabisa, sasa hizi kauli za viongozi kusema vijana wajiajiri na ardhi tunayo. Bila maandalizi ni kutukejeli.
Sasa hihii kuiondoa, swali ni je nani anasimamia masoko na bei za mazao?.Ondoa neno serikali kama unataka kulima kwa mafanikio
Nakubaliana na weweTunapoizungumzia commercial farming tunamaana uweze kumudu na kuendesha maisha yako 100% kwa kutegemea kilimo hicho tu. Aina ya maisha haya ni kuwa na nyumba nzuri, kula vizuri kuku kuku nini kawaida, familia ivae vizuri, usafiri binafsi mzuri wewe na familia, watoto wasome shule nzuri za private, uwe na saving ya kutosha bank yaani milioni kadhaa kila mwaka hata ukifa account inasoma mamia ya milioni
Kilimo ni mkombozi kama serikali inawekeza kwenye kilimoUko sahihi kabisa, sasa hizi kauli za viongozi kusema vijana wajiajiri na ardhi tunayo. Bila maandalizi ni kutukejeli.
Jibebe mwenyewe ondoa msamiati serikali kichwaniSasa hihii kuiondoa, swali ni je nani anasimamia masoko na bei za mazao?.
Hoja km hii unaweza pata mke humu humu.Wanapenda wanawake[emoji12]Hata mapenzi usipomwandaa mkeo na kuweka mazingira mazuri wakati wa tendo ni mateso kwao