Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.

20220119_113016.jpg
 
bado hujatufafanulia vizur , wamegoma ushulu wa 300000 je! hapo awali walikuwa wanalipa tsh ngapi mpaka wagomee huo wa laki tatu?
Haijaelezwa ila mpaka wamegoma Ina maana haiko sawa mbona mwanzoni hawakugoma
 
duh! hata sijui tuwasaidiaje maana ndio taifa lilipofikia" tunajaribu kupaza sana sauti umu majukwaan lakin tunaonekana kama vilaza fln , kilichobaki tunawaachia wenye nchi yao wafanye wanavyotaka maana sisi wengine tumeshakuwa wakimbizi
 
yaan kazi tunayo kwa kweli na safar bado n ndefu
 
Anaepanga ushuru hajawahi hata kuuza mchicha unategemea nini? Anaropoka tu laki tatu kwasababu kazoea kuipata kirahisi kwa rushwa hajui hata thamani yake!
na wahisika wapo kimya tuuuui!
 
Anaepanga ushuru hajawahi hata kuuza mchicha unategemea nini? Anaropoka tu laki tatu kwasababu kazoea kuipata kirahisi kwa rushwa hajui hata thamani yake!
Hapo wameshapiga mahesabu yao ktk hiyo lak 3 ofisin itaenda ngap na mfukoni ngap[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom