Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

Ipo mkoa wa Tanga sio mkoa wa Pwani ila Tanga nayo ina mazingira na tamaduni za kipwanipwani
Tanga ni pwani pia. Ukiachana na mkoa wenye jina la pwani, pwani yenyewe imeanzia mtwara hadi tanga kwa tz.
 
Hawa jamaa sbb kuna embe nyingi upande huo ndio maana wanaweka ushuru bei juu hivyo
Halaf kiwandani bei kilo 200 😄😄😄 wauza maembe mwafaaaa
 
Back
Top Bottom