Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

nilipata mchongo wa kuuza maembe kwenye kiwanda cha bakheresa, ila sikujua maembe nitayapatia wapi kumbe kilindi naweza pata mzigo wa kutosha, kwa mwenye information vizuri naomba anijuze naitaji mzigo wa maembe dodo
 
Tanga mfumo wa ulipaji kodi haupo vzr nililipia ushuru wa mazao siku moja muheza na nilikuwa na document zote lakini cha ajabu kila nikifika kwenye mageti wananiomba niwape commision ya 20000 ikafika sehemu nikagoma kutoa walinisumbua njiani balaa wanahitaji kupitia mfumo wa ulipaji kodi tena na kufuatilia kwenye mageti ya ushuru
 
Mkuu acha jazba mbona iyo hela ya ushuru ni ndogo tu si ni kama dola mia na ushee? Kuweni na fahari kuchangia maendeleo kwenye sehemu husika kwa maslahi mapana ya taifa.

Sauh'waaah?!
Unaongea huku umenibg'iniza Naniii zako hapo sebuleni Kwa shemeji...qenge 😂😂😂
 
Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.

View attachment 2087728

93AFD6B0-619E-4100-97F1-48CA80712C0C.jpeg
 
Anaepanga ushuru hajawahi hata kuuza mchicha unategemea nini? Anaropoka tu laki tatu kwasababu kazoea kuipata kirahisi kwa rushwa hajui hata thamani yake!
Mkuu v8,etc zinahitaji fwezaaa

Ova
 
Hawa jamaa tatizo hawajawahi kumiliki hata kibanda cha kuuza nyanya... hawajui chochote kuhusu biashara zilivyo ngumu. Wanaichukulia poa 300,000. Nania alipe hiyo hela, wanajua Laki tatu inanuna mafuta kiasi gani?
 
Tanga mfumo wa ulipaji kodi haupo vzr nililipia ushuru wa mazao siku moja muheza na nilikuwa na document zote lakini cha ajabu kila nikifika kwenye mageti wananiomba niwape commision ya 20000 ikafika sehemu nikagoma kutoa walinisumbua njiani balaa wanahitaji kupitia mfumo wa ulipaji kodi tena na kufuatilia kwenye mageti ya ushuru
duh
 
Hawa jamaa tatizo hawajawahi kumiliki hata kibanda cha kuuza nyanya... hawajui chochote kuhusu biashara zilivyo ngumu. Wanaichukulia poa 300,000. Nania alipe hiyo hela, wanajua Laki tatu inanuna mafuta kiasi gani?
laki 3 ni mtaji huo kabisa
 
ukiweka kodi kubwa wengi watatafuta njia za panya na serikali haitapata kodi ukiweka kodi yenye tija watalipa wengi na serikali itapata mapato bila ya kumuumiza yoyote
 
Back
Top Bottom