Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Halali yao ni elfu 10.Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkbwa.View attachment 2087728
Kulipa ushuru ni sawa ila sio ushuru wa kinyonyaji na kitapeli kama huo.Hawajasaidia chochote kuanzia kuandaa shamba mpaka kuvuna... Leo mazao tayari kwa kuuzwa ndio wanajitokeza
Unaongea huku umenibg'iniza Naniii zako hapo sebuleni Kwa shemeji...qenge 😂😂😂Mkuu acha jazba mbona iyo hela ya ushuru ni ndogo tu si ni kama dola mia na ushee? Kuweni na fahari kuchangia maendeleo kwenye sehemu husika kwa maslahi mapana ya taifa.
Sauh'waaah?!
Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
View attachment 2087728
Sawa mzee 😂😂😂Afu umenikumbusha ngoja nimpigie mwanaidi wangu wa Kilindi.
Mkuu v8,etc zinahitaji fwezaaaAnaepanga ushuru hajawahi hata kuuza mchicha unategemea nini? Anaropoka tu laki tatu kwasababu kazoea kuipata kirahisi kwa rushwa hajui hata thamani yake!
duhTanga mfumo wa ulipaji kodi haupo vzr nililipia ushuru wa mazao siku moja muheza na nilikuwa na document zote lakini cha ajabu kila nikifika kwenye mageti wananiomba niwape commision ya 20000 ikafika sehemu nikagoma kutoa walinisumbua njiani balaa wanahitaji kupitia mfumo wa ulipaji kodi tena na kufuatilia kwenye mageti ya ushuru
laki 3 ni mtaji huo kabisaHawa jamaa tatizo hawajawahi kumiliki hata kibanda cha kuuza nyanya... hawajui chochote kuhusu biashara zilivyo ngumu. Wanaichukulia poa 300,000. Nania alipe hiyo hela, wanajua Laki tatu inanuna mafuta kiasi gani?
Sahihi kabisaKulipa ushuru ni sawa ila sio ushuru wa kinyonyaji na kitapeli kama huo.
LC300 tunazitakaMkuu v8,etc zinahitaji fwezaaa
Ova
Halmashauri inayotegemea maembe kama chanzo cha mapato. Tena maembe pori????We are mentally sick for real. Huo ushuru hakuna mtu atakuwa tayari kulipa
Ni halmashauri kula maembe maana hayanunuliwiNgoja tusubiri kuona kama kuna chochote kitafuata