Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kuna wimbo fulani wa kisabato unaitwa kishindo cha wakoma ulivuma sana ni wimbo mzuri.
Sasa kishindo cha Chips atakacho kutana nacho marekani kutoka kwa China kitakuwa kizito sana kitashika eneo nyeti sana katika teknolojia.
Marekani wanafanya kila wawezalo China asiwapite upande huu vikwazo vizito China anashushiwa si serikali ya Biden si serikali ya Trump wote lengo ni kuhahikisha China atengenezi ubabe wake upande huu.
Ubaya ni kuwa China ana materials zote za kumuwezesha kumfikia na kumpita Marekani upande huu kuanzia wataalam wa STEM China inao mamilioni Tim Cook anasema wanaweza jaza hata viwanja vitatu vya mpira, materials yanayo tumika pia wanayo,fedha wamewekeza, utafiki wanafanya kwa kasi sana sasa.
Kilicho baki ni surprise package"Kishindo cha Chips" kuanzia machine yenyewe ya kutengeneza Advanced Chips ambazo kwa sasa China kapigwa vikwazo kuzigusa kabisa ila kitakacho tokea itakuwa kishindo kizito.
www.scmp.com

How China’s award-winning EUV breakthrough sidesteps US chip ban
As US restrictions continue getting tougher, Chinese researchers are coming up with innovative approaches to chip manufacturing.