Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina siku ya 7 Leo, kinacho shangaza ni kiasi Cha pesa kilicho tumika ku fund operation.Ndiyo naiona hapa, wanasema ni open source. That is huuge.
Hao Wachina hawana rekodi ya uwazi kwa hivyo hata wakikwambia wametumia dola milionin6 take it with a pinch of salt.Ina siku ya 7 Leo, kinacho shangaza ni kiasi Cha pesa kilicho tumika ku fund operation.
kiasi ni dollar million 6, uki fananisha uwekezaji huo na ai nyingine Kama Gemini ya google, na Ile ya Microsoft basi hiyo ni punje ya mchanga.
halafu hizo nyingine bado zina jivuta sana, then it's a huge success.
nime fikiria pia Ina weza kuwa marketing strategy, ili isambae na kuzungumzia kwa haraka.Hao Wachina hawana rekodi ya uwazi kwa hivyo hata wakikwambia wametumia dola milionin6 take it with a pinch of salt.
Nasikiliza BBC World Service wanaiongelea kwenye taarifa ya habari.
Tayari imeangusha stock markets za dunia, bei ya stocks za NVIDIA zimeanguka by 10%.
Haihitaji kuwa kwenye stock market, the fact kuwa hii ni open source AI inayoweza ku run kwenye chips za lower specification inasababisha AI nyingine zikose market dominance.nime fikiria pia Ina weza kuwa marketing strategy, ili isambae na kuzungumzia kwa haraka.
Kwani wamesha iweka kwenye stock market??, maana nili itafuta siku iona mkuu.
nime ona, sema Nvidia ndo kala loss kubwa, oracle nae ana fatia.Haihitaji kuwa kwenye stick market, the favt kuwa hii ni ooen source AI inayoweza ku run kwenye chips za lower specification inasababisha AI nyingine zikose market dominance.
Soma Reuters wameeoezea hapa.
Loading…
www.reuters.com
Uzuri wote wamekujibu kadri ya uwezo wao.Nyie mnaosema deepseek anampita CHATGPT kwa sasa mnakosea sana
Deepseek kwa CHATGPT bado sana
Kama hapa chini👇🏼👇🏼👇🏼nimejaribu kuwauliza kama wanakumbuka nilichowauliza leo
Majibu yao hayo apo 👇🏼🙌🏼View attachment 3215677View attachment 3215678View attachment 3215679View attachment 3215680
Nahisi DS haina memory update. Nzuri kwa faragha.Uzuri wote wamekujibu kadri ya uwezo wao.
utalii wa ndani 🤣🤣🤣Tofauti kubwa sana
Viongozi wanafurahi na fisi huku nchi inachangamoto nyingi za kuzielekezea akili
kishindoooo chawakomaaaKuna wimbo fulani wa kisabato unaitwa kishindo cha wakoma ulivuma sana ni wimbo mzuri.
Sasa kishindo cha Chips atakacho kutana nacho marekani kutoka kwa China kitakuwa kizito sana kitashika eneo nyeti sana katika teknolojia.
Marekani wanafanya kila wawezalo China asiwapite upande huu vikwazo vizito China anashushiwa si serikali ya Biden si serikali ya Trump wote lengo ni kuhahikisha China atengenezi ubabe wake upande huu.
Ubaya ni kuwa China ana materials zote za kumuwezesha kumfikia na kumpita Marekani upande huu kuanzia wataalam wa STEM China inao mamilioni Tim Cook anasema wanaweza jaza hata viwanja vitatu vya mpira, materials yanayo tumika pia wanayo,fedha wamewekeza, utafiki wanafanya kwa kasi sana sasa.
Kilicho baki ni surprise package"Kishindo cha Chips" kuanzia machine yenyewe ya kutengeneza Advanced Chips ambazo kwa sasa China kapigwa vikwazo kuzigusa kabisa ila kitakacho tokea itakuwa kishindo kizito.
![]()
How China’s award-winning EUV breakthrough sidesteps US chip ban
As US restrictions continue getting tougher, Chinese researchers are coming up with innovative approaches to chip manufacturing.www.scmp.com
Tupo sayari ya mbali sana, kuna muda naangalia vitu wanavyofanya serikali nabaki na sikitika sana. Kila siku ni barabara, maji, hospitali, shule bado mpaka leo tunaangaika navyo. Eh Mungu utufunulie akili zenu tupate kufahamu. Mambo mengi sisi tupo nyuma, ila tuendelee kupambana tutafika tu.
we jamaa acha basi
Hapa sijui kama Lucas anakuelewaTupo sayari ya mbali sana, kuna muda naangalia vitu wanavyofanya serikali nabaki na sikitika sana. Kila siku ni barabara, maji, hospitali, shule bado mpaka leo tunaangaika navyo. Eh Mungu utufunulie akili zenu tupate kufahamu. Mambo mengi sisi tupo nyuma, ila tuendelee kupambana tutafika tu.
Ndiyo sisi hao mkuuwe jamaa acha basi
mbavu zinauma huku 🤣🤣🤣
Ata elewa tu.Hapa sijui kama Lucas anakuelewa
Unafkiri Marekani hana hizo materials?Kuna wimbo fulani wa kisabato unaitwa kishindo cha wakoma ulivuma sana ni wimbo mzuri.