Kilio cha Marekani kwenye chips kitakuwa kikubwa sana tofauti na hiki kwenye EVs, Solar, Apps, AI na 5G

Kilio cha Marekani kwenye chips kitakuwa kikubwa sana tofauti na hiki kwenye EVs, Solar, Apps, AI na 5G

Unafkiri Marekani hana hizo materials?
Anapitwa na China kwenye STEM watoto wa kizungu sasa wanawaza vitu vya kipuuzi si ajabu hata kwenye makampuni ya AI marekani wamejazana wachina
20250126_144306.jpg
 
Nahisi DS haina memory update. Nzuri kwa faragha.
Ndiyo kwanza imetoka, hope wataifanyia maboresho zaidi.

Nilichopenda ni uwezo wake wa kuweza kufanya kazi hata kwenye google search versions za nyuma.
 
Huu uzi mzuri hila ungekaa Kyle kwenye jukwaa la gadget ungepata wachangiaji wengi wenye kuelewa hizi mambo.
 
Ongella zao tunashukulu Wamalize Ubabe wao awa mashoga na Simu zao watawauzia mashoga tu siku yaja!!!!!

Nini maana ya ongella? Aliyechezea mfumo wa elimu bongo kaua taifa.
 
In the USA, it costs more money to act a movie about going to space than actually going to space. Hii ndo changamoto ya kiwanja.
 
Back
Top Bottom