Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Nipe link ya AI DeepseekHata mimi ndicho naona... sasa hivi tu kaanza kushutuka AI DeepSeek imeigonga Chagpt kuwa ya pili katika karibu kwenye kila Benchmark kutoka benchmarks zinazojitegemea. Tena kwenye kukokotoa hesabu imeipita kinoma. Gemini ndo hata haitii maguu. Mchina anaenda unda mashine za chips na chips zenyewe yani itakuwa suprise.