Kilio cha Marekani kwenye chips kitakuwa kikubwa sana tofauti na hiki kwenye EVs, Solar, Apps, AI na 5G

Nipe link ya AI Deepseek
 
ASML marekani anawaponza, baada ya marekani kuweka vikwazo kwa nchi kibao kuuziwa chips na nvidea, jensen huang amemaindi sana kwa sababu anadai watapoteza karibu 80% ya soko
Ni kweli.

wamekosa soko kubwa ila kwa sasa marekani anachojali sio hata kelele za wataalam na wafanyabiashara wake wa Chips bali ni kwa namna gani anaweza mzuia China asifike lengo lake kuu kwa namna yoyote ile hapa ndio kazi ipo.
 
Chenye imeuma mzungu ni china kaifanya open source. Siri imevunja. Macho ndogo kavunjisha siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…