Kilio cha Marekani kwenye chips kitakuwa kikubwa sana tofauti na hiki kwenye EVs, Solar, Apps, AI na 5G

Ndiyo naiona hapa, wanasema ni open source. That is huuge.
Ina siku ya 7 Leo, kinacho shangaza ni kiasi Cha pesa kilicho tumika ku fund operation.

kiasi ni dollar million 6, uki fananisha uwekezaji huo na ai nyingine Kama Gemini ya google, na Ile ya Microsoft basi hiyo ni punje ya mchanga.

halafu hizo nyingine bado zina jivuta sana, then it's a huge success.
 
Hao Wachina hawana rekodi ya uwazi kwa hivyo hata wakikwambia wametumia dola milionin6 take it with a pinch of salt.

Nasikiliza BBC World Service wanaiongelea kwenye taarifa ya habari.

Tayari imeangusha stock markets za dunia, bei ya stocks za NVIDIA zimeanguka by 10%.
 
nime fikiria pia Ina weza kuwa marketing strategy, ili isambae na kuzungumzia kwa haraka.

Kwani wamesha iweka kwenye stock market??, maana nili itafuta siku iona mkuu.
 
nime fikiria pia Ina weza kuwa marketing strategy, ili isambae na kuzungumzia kwa haraka.

Kwani wamesha iweka kwenye stock market??, maana nili itafuta siku iona mkuu.
Haihitaji kuwa kwenye stock market, the fact kuwa hii ni open source AI inayoweza ku run kwenye chips za lower specification inasababisha AI nyingine zikose market dominance.

Soma Reuters wameeoezea hapa.

 
Nyie mnaosema deepseek anampita CHATGPT kwa sasa mnakosea sana

Deepseek kwa CHATGPT bado sana
Kama hapa chini👇🏼👇🏼👇🏼nimejaribu kuwauliza kama wanakumbuka nilichowauliza leo
Majibu yao hayo apo 👇🏼🙌🏼
 
kishindoooo chawakomaaa
 
Huku kwetu tulivyo mpaka muda huu
View attachment 3214841

Inafikirisha sana
Tupo sayari ya mbali sana, kuna muda naangalia vitu wanavyofanya serikali nabaki na sikitika sana. Kila siku ni barabara, maji, hospitali, shule bado mpaka leo tunaangaika navyo. Eh Mungu utufunulie akili zenu tupate kufahamu. Mambo mengi sisi tupo nyuma, ila tuendelee kupambana tutafika tu.
 
Hapa sijui kama Lucas anakuelewa
 
Mi nikajua chips za viazi vya mbeya, kumbe ni hizo zingine
 
Unafkiri Marekani hana hizo materials?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…